Sio kola kifo ni corona jamani tuwe waelewa,yapo magonjwa yanaua watu sana sio corona tu.Kumbuka hata wachawi wanapitia humo kuchukua kigezo cha corona kumbe ni corona ya kutengeneza.
Huo ni ushindi dhidi ya adui,umezikwa ukafufuka,ukalishwa vitu ukavitapika ,ni adui anakufatilia sana katika maisha yako akuangamize kabisa ila Mungu amekupigania ukashinda ,endelea kutegua mitego ya adui dhidi ako na kukataa mauti katika mipango yako yote ,Mungu yupo upande wako.Usibweteka...
Hizo ni ndoto mbaya za kuzimu na mauti kama unamjua Mungu zikemee na uzikatae na ujitenge na hizo roho za mauti maana zinakufatilia ,usipokuwa makini utajikuta na wewe unamfata huyo unayemuota au mmoja wa ndg zako anafariki ,omba sana uvunje roho za mauti ndg angu .
Kifo ni popote hata kama unauza maembe na matikiti unaweza pigwa na radi wakati wa mvua ukafa!! Sio hiyo tu hata kama upo bank kikazi jengo linaweza kuporomoka ukafa hapohapo, haijarishi ni kazi gani, kifo kipo pale pale labda jambo la msingi ni kusisitiza umakini wa dreva na ufahamu juu ya kazi...
Huku dar mbona hawawakamati manispaa ya ubungo kibamba ,mbona wanachangisha michango na risiti hawatoi za TRA?Wafanye ukaguzi kuna upigaji wa pesa hii wanakosaje mashine ya EFD?
Sio hao tu hata wilaya ya ubungo kuna shida,wanakusanya hela ya taka alafu taka hazisombwi gari linachukua mda mrefu kusomba taka zinanuka
Pia wanachangisha wananchi pesa hawatoi risiti ya EFD machine(mashine ya TRA)Pesa inayochangwa nahisi kuna upigaji.Pia wanadai kuwa hata kama umesafiri muda...
Hospitali ya mloganzila kuna urasimu sana ,watumishi hawalipwi stahiki zao, wapo waliohamishwa kutoka sehemu mbalimbali toka mwaka 2017 mpaka leo hawajapata stahiki zao, pia na stahiki zingine kama mda wa ziada watumishi wanada stahiki zao za miezi 10-12, serikali chunguzeni uongozi wa hii hospital
Weeh usiseme hivyo, kuna watu wana sound unakubali unaaminishwa tu. Siwezi kuwalaumu sana walojiunga ila ndo wamejua sasa kumbe ni utapeli, kuna na wengine wanajiita jina flani hivi nmelisahau nao matapeli wanakutaka uwatumie hela wanadai wanauza na kununua madini unapata pesa yako double ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.