Ndoto hii ina maana gani?

Ndoto hii ina maana gani?

Pole kwa kumpoteza baba yako, ila utakuwa bado haujaridhika kwamba haupo naye tena ndiyo maana unamuota.
Pole sana.
 
Piga maombi kufunga na dua.ukiota tena ukishtuka piga maombi au dua...muda huohuo.hapo kuna ushirikina kwenye kifo chake
 
Ni juzi tu hapa kuna mchungaji alikua ananielezea mambo ya kurithi akitumia mafungu yafuatayo; Maombolezo 5:7, na Kutoka 20:4-5. Na alisema moja ya dalili kubwa kua kuna mambo flan unayopaswa kurithi bas utakua unamuona baba akikujia kwny ndoto mara kwa mara. So kazi ni kwako kufanyia kazi, mtafute kiongozi waoo wa dini umwelezee anaeza kukusaidia kwa maombi.
Ndugu zangu wajamii forum kwa wenye uwelewa wandoto kama hizi naombeni mnijuze, nmekuwa nikimuota marehemu baba yangu kila mara lakini kwamuda tofauti tofaut lakin wiki hii tangu ianze nmekuwa namuota mara tatu mfululizo kwamba nipo nae, sasa ndoto nliyoota leo kwamba baba yangu mzima kabisa kakaa kwenye kiti napiga nae stor uku nikiwa napika mayai, nlipomaliza kupika nkamuekea kwenye samahi nikamwambia kula namimi uniachie kidogo akala akaniachia namimi nikamalizia, tukawa tunaongea tu anasema sasa hivi sina hela ata kidogo yani nipo tuu, nikakumbuka nikamuuliza account zako zimefungwa baada yawewe kufariki inakuwaje sasa umeludi na bado hazifunguliwa, nkamwambia nmekumbuka kitu embu nielezee tulivo kuzika ilikuwaje nampaka kuludi sasa, akawa anasema kipindi mnanizika nlikuwa nawaona ila kufanya chochote siwezi hadi kunifukia, nikashtuka ndoto ikawa imekatika hapo.
naomba kwayoyote anayefamu au wazo lolote kuusu ndoto kama hizi.
ASANTE.
 
Ni juzi tu hapa kuna mchungaji alikua ananielezea mambo ya kurithi akitumia mafungu yafuatayo; Maombolezo 5:7, na Kutoka 20:4-5. Na alisema moja ya dalili kubwa kua kuna mambo flan unayopaswa kurithi bas utakua unamuona baba akikujia kwny ndoto mara kwa mara. So kazi ni kwako kufanyia kazi, mtafute kiongozi waoo wa dini umwelezee anaeza kukusaidia kwa maombi.
Asante mkuu
 
Lakini mkubwa hiyo inatokana na kuwa baba yako ulikuwa umampenda sana au kifo chake kilikuingia sana moyoni na bado unamfiki sana ndo maana ndoto zake filings zile zinakupelekea bado uko nae ndio maana hilo linakutokea..
Pole sana mkubwa ila jitahidi usahau usilibebe saaanaa rohoni litakusunbua
 
Nmekuelewa
 
Ndugu zangu, kwa wenye uwelewa wa ndoto kama hizi naombeni mnijuze, nmekuwa nikimuota marehemu baba yangu kila mara lakini kwa muda tofauti tofaut lakini wiki hii tangu ianze nimekuwa namuota mara tatu mfululizo kwamba nipo nae, sasa ndoto niliyoota leo kwamba baba yangu mzima kabisa kakaa kwenye kiti napiga nae stori huku nikiwa napika mayai, nilipomaliza kupika nikamuwekea kwenye sahani nikamwambia kula na mimi uniachie kidogo.Akala akaniachia na mimi nikamalizia, tukawa tunaongea tu anasema sasa hivi sina hela hata kidogo yani nipo tuu, nikakumbuka nikamuuliza account zako zimefungwa baada ya wewe kufariki inakuwaje sasa umerudi na bado hazijafunguliwa, nikamwambia nimekumbuka kitu embu nielezee tulivyokuzika ilikuwaje na mpaka kurudi sasa, akawa anasema kipindi mnanizika nilikuwa nawaona ila kufanya chochote siwezi hadi kunifukia, nikashtuka ndoto ikawa imekatika hapo.

Naomba kwa yeyote anayefahamu au wazo lolote kuhusu ndoto kama hizi.

ASANTE.
kama ww ni RC, kamuombee Misa
 
Hizo ni ndoto mbaya za kuzimu na mauti kama unamjua Mungu zikemee na uzikatae na ujitenge na hizo roho za mauti maana zinakufatilia ,usipokuwa makini utajikuta na wewe unamfata huyo unayemuota au mmoja wa ndg zako anafariki ,omba sana uvunje roho za mauti ndg angu .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom