Recent content by Mwoce

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto alaumiwa kwa kumkejeli Padri Kitima Ikulu

    Atahiniwe labda. Aibu tupu kwenye hili eneo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Bado hatuungi mkono Mkataba wa Bandari

    Injili na Homilia ya Leo Inahubiri umuhimu wa mifarakano na kukataa utumwa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hongera BoT kwa utaratibu wa watumishi kukopa benki kwa njia ya mtandao, japokuwa mikopo umiza mitaani bado imewashinda

    Wameipa Jina la Mikopo chupi mkononi, meaning nguo zinawavuka kina mama wakitafuta marejesho, mpaka kijijini kwangu ipo. Tujitafakari
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ame hack simu yangu

    Ana line usiyoijua
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Subira Mgalu atema cheche upotoshaji uwekezaji wa Bandari

    Alikuwemo kwenye kundi la chawa. Ni vyema aache kuongelea hiyo kitu, nchi imetulia. Ni lini hawa watakuja na agenda za maendeleo ya wanawake ili na sisi watoa huduma tupumue!
  6. M

    JamiiForums Tanzania TEC toeni tamko kukemea ubaguzi kwenye elimu

    😄
  7. M

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Mkome, kama mlivyokoma titi la mama yenu

    Hao wazee wamekwamisha shughuli za serikali kwa kuwafukuza hao maafisa, hiyo kauli nyingine watakayo wataipata. Wasibembelezwe tena.
  8. M

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Mkome, kama mlivyokoma titi la mama yenu

    😄wazee wamezingua
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Gerson Paskali anaichukua.

    Kwani Charles Hillary amestaafu
  10. M

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Mkome, kama mlivyokoma titi la mama yenu

    Tena amewahurumia ningekuwa mimi ningechukua hatua zaidi, unafukuzaje watumishi wa umma waliokutembelea bila kujali ujumbe wao. Hizo kadi zetu warudishe hatunaga wanachama vigego.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

    Hawaheshimiani na hiyo swala 5 ni zuga tu kama baibui za Kariakoo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo cha usimamizi wa mochwari (mortuary attendant)

    Ni wauguzi hao.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Siipendi CCM na watu wake ila Said Mtanda, Mkuu wa Mkoa wa Mara namheshimu sana!

    Hajawahi kuwa mbunge ila anafaa kuwa Mbunge. Ni kijana mwenye weledi sana. Ni tunda la CCM Asili.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mkoa wa Pwani unakosa Manispaa?

    😁
Back
Top Bottom