Kwani Charles Hillary amestaafuKwani Hajafikisha Umri wa Kustaafu Kwa Ufari?
Kwani Charles Hillary amestaafuKwani Hajafikisha Umri wa Kustaafu Kwa Ufari?
But one day Yes bro.Duh...!.
P
Msigwa kaenda wapi tena?Piga ua zaragaza nafasi aliyoacha wazi Gerson Msigwa wa msemaji mukuu wa Serikali ni ya ndugu yetu mpendwa na mwanajamvi mwenzetu Pascal Mayalla.
Hakuna cha Kikeke ama Kitenge this time is for Pasco.
It's now or never. This time LAZIMA alambe teuzi na wote tufurahi.
Mungu amtangulie huyu ndugu yetu katika majukumu yake mapya yatakayoanza karibuni.
Kila la kheri Mzee
Chawa wa mama ulikuwa wapi Mama amefanya mabadiliko na haujui!Msigwa kaenda wapi tena?
Kitenge na Kikeke wakichukua nafasi hiyo itakuwa ni Aibu kubwa kwa Taifa.Piga ua zaragaza nafasi aliyoacha wazi Gerson Msigwa wa msemaji mukuu wa Serikali ni ya ndugu yetu mpendwa na mwanajamvi mwenzetu Pascal Mayalla.
Hakuna cha Kikeke ama Kitenge this time is for Pasco.
It's now or never. This time LAZIMA alambe teuzi na wote tufurahi.
Mungu amtangulie huyu ndugu yetu katika majukumu yake mapya yatakayoanza karibuni.
Mlingotini kuna nini hapo,🤔Ameonekana kona ya Mlingotini pale kwa Mtoro mchana wa leo 😂😂
Hadi Kitenge hiki kivaliwacho na mama zetu!Piga ua zaragaza nafasi aliyoacha wazi Gerson Msigwa wa msemaji mukuu wa Serikali ni ya ndugu yetu mpendwa na mwanajamvi mwenzetu Pascal Mayalla.
Hakuna cha Kikeke ama Kitenge this time is for Pasco.
It's now or never. This time LAZIMA alambe teuzi na wote tufurahi.
Mungu amtangulie huyu ndugu yetu katika majukumu yake mapya yatakayoanza karibuni.
Kwanini sala kama hii muhimu usiisali kimoyo moyo ambapo ingeweza kukuzalia matokeo chanya?Piga ua zaragaza nafasi aliyoacha wazi Gerson Msigwa wa msemaji mukuu wa Serikali ni ya ndugu yetu mpendwa na mwanajamvi mwenzetu Pascal Mayalla.
Hakuna cha Kikeke ama Kitenge this time is for Pasco.
It's now or never. This time LAZIMA alambe teuzi na wote tufurahi.
Mungu amtangulie huyu ndugu yetu katika majukumu yake mapya yatakayoanza karibuni.
Hapo nami nimeamini kweli tuna wasomi wajinga sana.Sikutegemea kama kuna mtu anamuona kitenge kwenye hiyo vacancy
Kwa uroporopo ule, itakua kituko japo tunajua anavyotumika kule kwingine. Aendelee tu ivi ivi.
Kwanini sala kama hii muhimu usiisali kimoyo moyo ambapo ingeweza kukuzalia matokeo chanya?
Kweli nami ninamuombea sana iwe hivyo, ila tatizo la watawala wetu wanaoshinda mitandaoni na kuyasoma haya wanaweza kuona kama tunawapangia(kwa mawazo ya kiAfrika)!
Lakini lazima wakae wasikilize kilio kilicho cha wengi kama walivyosikiliza mitandao na wakamtengua Maharage Tanesco, Makamba nishati na bado mmoja tusiyemtaka wanaendelea kushupaza shingo kama hawatusikii kumlinda kwa gharama yoyote!
Kwanza Paskali akisimama kwenye mimbari kutoa hoja, ukianza kumpima unaona kabisa huyu jamaa mtu na nidhamu zake anafaa sana na uandishi wake ni wa kipaji.
Lakini sasa kwa teuzi hizi za kufuata majina na ubini wa kiukoo, sala yako hii yawezakuwa ni dua la kuku lisiloweza kulaani na kuishinda tamaa ya mwewe!inasikitisha sana.