Recent content by Mwl wa akiba

  1. Mwl wa akiba

    Walimu 5000 kati ya 8000 walioajiriwa, wasitishiwa ajira zao

    Habari kamili ni kuwa uhakiki unaendelea na baadhi wameshakamilishiwa uhakiki wao ila wengine bado uhakiki unaendelea . Ila wapo ambao kutoka kada nyingine nao walijipenyeza na mfumo ukawachukua ndio maana upembuzi unaendelea katika kubaini jambo hilo. Licha ya ambao uhakiki unaendelea...
  2. Mwl wa akiba

    Ulimpataje best friend wako?

    Mimi nilikutana naye Jkt kwa mujibu wa sheria tulikuwa kombania moja sasa mbali na doso la Jkt bado kabla ya kuoga lazima nipige tizi boxer sasa yeye alikuwa anapenda sana hivyo akaomba niwe namfundisha fundisha ndio ikaanzia hapo. Tukaja kukutana naye tena chuo tukawa washikaji hadi kuwa...
  3. Mwl wa akiba

    Ulimpataje best friend wako?

    Mimi nilikutana naye Jkt kwa mujibu wa sheria tulikuwa kombania moja sasa mbali na doso la Jkt bado kabla ya kuoga lazima nipige tizi boxer sasa yeye alikuwa anapenda sana hivyo akaomba niwe namfundisha fundisha ndio ikaanzia hapo. Tukaja kukutana naye tena chuo tukawa washikaji hadi kuwa...
  4. Mwl wa akiba

    Ulimpataje best friend wako?

    Mimi nilikutana naye Jkt kwa mujibu wa sheria tulikuwa kombania moja sasa mbali na doso la Jkt bado kabla ya kuoga lazima nipige tizi boxer sasa yeye alikuwa anapenda sana hivyo akaomba niwe namfundisha fundisha ndio ikaanzia hapo. Tukaja kukutana naye tena chuo tukawa washikaji hadi kuwa...
  5. Mwl wa akiba

    Charles Kimei: Serikali iwekeze kwenye Elimu ya ujuzi ambayo inaakisi maisha yetu ya kila siku

    Moja ya sababu ya kuwa economic depression huko ulaya na Marekani zama hizo ni uneven distribution of income . Hata watu wakiwa na ujuzi lakini wananchi uchumi ni mbovu hakuna tija hata kidogo maana fundi gari anasubiria mtu aje kutengeneza gari je mwenye gari asipokuwa na fedha ya kupeleka...
  6. Mwl wa akiba

    Baba matatani kwa kumfinya akitumia praizi mtoto kisa hajui kusoma wala kuandika

    Tenga muda kupitia kuhusu shida hiyo kuna vitu utagundua hapo. Ndio maana tunashauri kuwa serikali iweke kozi ya elimu maalumu kama kozi ya lazima kwa walimu wa shule ya msingi hasa madarasa yale matatu ya awali ili tuweze kusaidia shule zetu kiundani zaidi. Naomba kuwasilisha . Mwl wa akiba.
  7. Mwl wa akiba

    Baba matatani kwa kumfinya akitumia praizi mtoto kisa hajui kusoma wala kuandika

    Nimefurahi sana kuona komenti yako ulivyogusa hilo eneo na kitaalamu inaitwa specific learning difficulties ambapo yapo makundi matatu msingi Dyslexia (kusoma) Dysgraphia (kuandika) Dyscalculia (kuhesabu) Ndio maana tunashauri walimu wa elimu maalumu ndio wawe walimu wa kufundisha madarasa ya...
  8. Mwl wa akiba

    Hai: DC Sabaya awataka Utumishi kueleza kwanini hawajapeleka majina ya Walimu waliostaafu Hazina

    Nashangaa sana kuona baadhi ya watanzania wenzetu kwa itikadi zao za kisiasa basi inafikia hatua wanaombea majanga au mikwamo kwa serikali ili wapate ya kusema na kunyoosha vidole kwa kweli hali hii ni mbaya sana Tupige magoti tusali ndugu zetu roho hiyo iwatokea.
  9. Mwl wa akiba

    PM Kassim Majaliwa piga kazi, achana na ndoto za Urais, umemponza SG Dk. Bashiru Ally

    Ccm asilia vs Ccm Mpya. Na kwa hasira na chuki zilizopo kwa ccm mpya sidhani kaa 2022 itatoka salama maana miaka kumi hii asilia wana hali ngumu sana na kimya chao kina mshindo siku wakiibuka
  10. Mwl wa akiba

    Nataka nikope Tsh milioni 10 SACCOS ninunue gari. Niambie uzoefu wako ulivyokopa pesa na kununua gari

    Umetoa kipimo kizuri cha uwezo wa kutumia akili wa watanzania. Mtu ameuliza kuhusu gari halafu kuna watu wanaanza ushauri wa ununuzi wa viwanja na mambo mengine . Sasa angekuwa anataka kununua kiwanja au vitu vingine si angeuliza jamani . Hebu tujikite kwenye eneo egemezi la swali husika...
  11. Mwl wa akiba

    Wasomi na kiingereza

    Siku ukifahamu kuwa lugha ya kiingereza ni kibebeo cha ujumbe tu kama ilivyo kimakonde basi utatuliza akili tu. Muhimu ni kwamba mtu awe anafahamu ujumbe husika tu kiubobezi atawasilisha kwa lugha yeyote ile .
  12. Mwl wa akiba

    Ubaguzi tunaofanyiwa na Wahindi hapa Tanzania

    Ukweli mchungu ni kwamba wametumia miaka mingi sana kulinda kizazi chao mila na desturi zao hivyo hawawezi kukubali ziharibike au kuingiliwa kirahisi hivyo. Ndio maana hata wazungu wazee wanalalamika sana kitendo cha sisi kuingilia jamii zao maana hapo badae italeta shida sana Just imagine...
  13. Mwl wa akiba

    Orodha ya Wanazuoni na Watu Mashuhuri walionivutia zaidi mwaka 2020

    Naandika Mwl wa akiba Mwisho wa Mwaka watu wengi wamekuwa na taratibu ya kuorodhesha vitabu walivyosoma kwa umma lengo ni kutia hamasa ya usomaji na ujifunzaji pia nami nimekuwa na utaratibu wa kufanya hivyo lakini mwaka huu nitaweka orodha ya watu ambao wamenivutia zaidi kwa mwaka huu 2020...
  14. Mwl wa akiba

    Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

    Gwaji Boy aliwahi sema mambo ya kuhuzunisha ni mengi kuliko mambo ya kufurahisha hivyo ukipata moja la kuchekesha basi unalishikiria barabara " Hivyo tuache watu wale bata zao za kimahaba maana miwasho ya pilipili ndio utamu wake Mbaya zaidi wanaoona donge ni wanawake kuliko wanaume...
Back
Top Bottom