Ulimpataje best friend wako?

Mimi tulikutana kwenye daladala tukiwa tunaenda interview basi la mwenge posta lilipofika moroco basi likaharibika na condakta akakimbia kurudisha nauli ilikuwa nipande likaharibikia kituoni.

Huyo kijana Akawa analia kuwa anaenda interview kule kule Mimi nlikuwa naenda kufanya interview hana nauli ingine nikambwambia usijali na mimi naenda nitakulipia. Kweli ikaja UDA tukapanda nikalipa

Tukafika posta tukashuka akasema nisubiri nakuja Toa photocopy za vyeti nipe nikatoa nikampa sikujali sababu muda wa interview ulikuwa bado sana na japo simjui sikujali sababu hakuchukua vyeti original

Baada ya muda akaja na mtu mzima pale nilikuwa akasema twende pembeni akaniambia maswali yote yatakayoulizwa interview na majibu

Kuingia nikamkuta nikajikausha kama simjui maswali yote nikakuta yaleyale nikayajibu vilevile nikapata kazi kumbe alikuwa mjomba wake

Hadi leo yeye simhesabu kama best friend bali ndugu
Nzuri, nimeipenda. Hapo ni Mungu alikua afanya njia bila ya wewe kujua
 
Kúna jamaa ni mshkaji sana yani, close sana yani. Mambo yake mengi tu tena very personal lazima aniambie. Shida ipo kwenye interests, kuna mambo I just don't see us relating, yaani unaweza mwambia kitu but he wouldn't relate at all....
...I keep him coz I also have my flaws, najua nae kuna yangu mengi tu anayavumilia.
 
Nimekua na best friend tumedumu kwa miaka 5 na tumefanya mambo mengi pamoja na tulikua tunafanya kazi moja ila nilipopata kazi sehem tofauti nzuti zaidi amebadilika ni kama ananikataa ivi na mimi nimempotezea . Sihitaji kuskia kitu inaitwa best friend tu. Niwe tu na watu tunafaamiana ila sio best friend wa kisoro
 
Aisee Mungu anasaidia watu sana mkuu.
 
Aiseeee Sina best furendi...

Kuna mdada nilimueleze jambo dogo jana usiku kupitia watsapp ...Yaaani akaanza nisema hapo hapo...Sasa akawa anamuadithia mtu...akanitumia zile text bahati mbaya..nlicheka Sana...

Hapa namtoa kwa list zangu za kuview status na picha zangu watsap
 
Tokea tunasoma vidudu.....nahisi wazazi walichangia pia....tulikuwa watundu sana darasani....
Tukasoma wote shule ya msingi, sekondari tulichanguliwa tofauti...nikachukua uhamisho kumfuata....tukapotezana kipindi tuko chuoni(kila mtu alienda nchi tofauti).
Tukaja kukutana tena kwenye semina za kikazi....nikamuunganishia kwa kaka yangu...wameoana....sasa si rafiki tu...ni ndugu rafiki.
 
Kweli...huyo best furendi wa Aina yake
 
Mimi tulikutana kwenye daladala tukiwa tunaenda interview basi la mwenge posta lilipofika moroco basi likaharibika na condakta akakimbia kurudisha nauli ilikuwa nipande likaharibikia kituoni.

Huyo kijana Akawa analia kuwa anaenda interview kule kule Mimi nlikuwa naenda kufanya interview hana nauli ingine nikambwambia usijali na mimi naenda nitakulipia. Kweli ikaja UDA tukapanda nikalipa

Tukafika posta tukashuka akasema nisubiri nakuja Toa photocopy za vyeti nipe nikatoa nikampa sikujali sababu muda wa interview ulikuwa bado sana na japo simjui sikujali sababu hakuchukua vyeti original

Baada ya muda akaja na mtu mzima pale nilikuwa akasema twende pembeni akaniambia maswali yote yatakayoulizwa interview na majibu

Kuingia nikamkuta nikajikausha kama simjui maswali yote nikakuta yaleyale nikayajibu vilevile nikapata kazi kumbe alikuwa mjomba wake

Hadi leo yeye simhesabu kama best friend bali ndugu
Mataga Kama kawa kubebwa
 
Kúna jamaa ni mshkaji sana yani, close sana yani. Mambo yake mengi tu tena very personal lazima aniambie. Shida ipo kwenye interests, kuna mambo I just don't see us relating, yaani unaweza mwambia kitu but he wouldn't relate at all....
...I keep him coz I also have my flaws, najua nae kuna yangu mengi tu anayavumilia.
Si ndoivo kuvumiliana kk
 
Nimekua na best friend tumedumu kwa miaka 5 na tumefanya mambo mengi pamoja na tulikua tunafanya kazi moja ila nilipopata kazi sehem tofauti nzuti zaidi amebadilika ni kama ananikataa ivi na mimi nimempotezea . Sihitaji kuskia kitu inaitwa best friend tu. Niwe tu na watu tunafaamiana ila sio best friend wa kisoro
Em tuambie sasa kwa experience kipi kinauma?
Mapenzi au Urafiki
 
Tokea tunasoma vidudu.....nahisi wazazi walichangia pia....tulikuwa watundu sana darasani....
Tukasoma wote shule ya msingi, sekondari tulichanguliwa tofauti...nikachukua uhamisho kumfuata....tukapotezana kipindi tuko chuoni(kila mtu alienda nchi tofauti).
Tukaja kukutana tena kwenye semina za kikazi....nikamuunganishia kwa kaka yangu...wameoana....sasa si rafiki tu...ni ndugu rafiki.

Best friend kawa wifi yako
 
Mimi nilikutana naye Jkt kwa mujibu wa sheria tulikuwa kombania moja sasa mbali na doso la Jkt bado kabla ya kuoga lazima nipige tizi boxer sasa yeye alikuwa anapenda sana hivyo akaomba niwe namfundisha fundisha ndio ikaanzia hapo.

Tukaja kukutana naye tena chuo tukawa washikaji hadi kuwa marafiki ambao tuko kindaki Ndaki sana hata baada kumaliza chuo licha ya umbali kidogo lakini bado tuko pamoja
Aluta Continua.
 
Back
Top Bottom