Recent content by Mwl Mweusi

  1. Mwl Mweusi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimehitimu form four na nimepata alama hizi je, kuna uwezekano wa kuchaguliwa form five ya kiaerikali,private ama chuo?

    Na vipi kuhusu private naweza pata ? au ndo nifanye mpango Wa chuo tu ?
  2. Mwl Mweusi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimehitimu form four na nimepata alama hizi je, kuna uwezekano wa kuchaguliwa form five ya kiaerikali,private ama chuo?

    Awali ya yote Nikiwa kama member Wa jf nawasalimu nyote, na nawasilisha mjadala kama ifuatavyo; Mimi ni muhitimu Wa form four na nimepata wastani Wa Division four ya 27 (4:27) ikiwa na alama zifuatazo za masomo; Civics D, History C, Kiswahili D, English C, Geography D, Biology D, na Math's F...
  3. Mwl Mweusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuta SMS za mapenzi kwenye simu ya mpenzi wangu; nifanyeje?

    Screenshot hizo SMS halafu utuonyeshe ili tujue cha kukushauri
  4. Mwl Mweusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli ninaokota dodo?

    Mhh ! Pigana mkuu wakati wewe unaota kufanikisha ndoti Fulani wenzako asubuhi wanaamka na kuifanyia Nazi ndotoyako , hivyo anza kutengeneza naye urafiki na uwe MTU wake Wa karibu ndio approach yako ianze kila LA heri .ila utuketee mrejesho.
  5. Mwl Mweusi

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mpira Wa man u sio Wa kumpa shabiki furaha hasa tukikutana na timu kubwa Njia bora ya kudifensi ni kushambulia tu. na si kupaki basi kama falsafa za makocha Wa zamani ,sikuhizi mambo yanebadilika makocha wamekuja na mbinu ya kukabia juu ili kujilinda na wakipata moira mashambulizi huanzia...
  6. Mwl Mweusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi kinauma kati ya kuumizwa katika mapenzi na kugongesha goti katika kiti ama meza?

    Goti la ukubwa wowote
  7. Mwl Mweusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi kinauma kati ya kuumizwa katika mapenzi na kugongesha goti katika kiti ama meza?

    Hapo kinacho mata ni maumivu yanavyo uma na si yanavyo tokea
  8. Mwl Mweusi

    JamiiForums Tanzania IPI SAHIHI NJANO AU DHAHABU KATIKA BENDERA YA TAIFA

    Kwa kutumia akili utagundua kuwa njano ni sahihi kwa sababu inawakilisha madini yote lakini ya gold ni kwa dhahabu pekee hamuoni udhaifu hapo? Kwa hiyo acha njano ibaki kuwa sahihi na so gold !!!
  9. Mwl Mweusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi kinauma kati ya kuumizwa katika mapenzi na kugongesha goti katika kiti ama meza?

    ;)
  10. Mwl Mweusi

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    ila smalling sijawahi muelewa hata siku moja ila naombea majembe yetu yarudi ROJO&BAILY
  11. Mwl Mweusi

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    hawa watu tunawahitaji sana katika wakati huu mgumu ROJO&BAILY
  12. Mwl Mweusi

    JamiiForums Tanzania Leo channel ipi ya king'amuzi cha azam tv nitaona Uefa leo

    hii sasa hatari!!!!!@
  13. Mwl Mweusi

    JamiiForums Tanzania hodi humu jf

    Nimekaribia ahsanteni sana!
  14. Mwl Mweusi

    JamiiForums Tanzania hodi humu jf

    Kazi ninayo na hii tanzania yetu ya viwanda watu wamepagawa kweli[emoji28] [emoji29] [emoji27] [emoji28] [emoji29] [emoji29] [emoji29]
Back
Top Bottom