Kipi kinauma kati ya kuumizwa katika mapenzi na kugongesha goti katika kiti ama meza?

Hv ulishawah kujigonga kidole cha mwisho mguuni pembezoni mwa kitanda...???? nadhani hapo utakuwa umepata jibu mkuu
 
Majibu mepesi na mengine kutokua na uhusiano ni matokeo ya swali lako nalo kuwa irrelevant + sawa na kuuliza tako na mguu kipi kikubwa!? Unategemea upate majibu sahihi!!!! Hebu ulizwa maswali yanayoeleweka¡
Hapo kinacho mata ni maumivu yanavyo uma na si yanavyo tokea
 
Maumivu ya mapenzi yanaaffect kila kitu, utalala utaamka bado yapo tu, tena kuna mda yanaanza moja kabisa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom