Unanchukuliaje mdada unaemtongoza leo, kesho anakupa kila unachokitaka kutoka kwake!

Et! Wana jukwaaa wenzangu, we unamchukuliaje mdada umekutana nae tu sehemu mara ghafla ukampenda na kuamua kumtongoza,na akakukubalia.

Then kesho yake akaamua kukutunuku kila unacho kihitaji kutoka kwake!

Wewe kama mwana jukwaa huru utamchukuliaje msichana wa dizaini hiyo?

Huyo anajijua.jinsi muda ulivyomchache na na mambo ni mengi akichelewa anaweza kuta kipaumbele kimeshahamia kwa mwengine.Imewakost wengi sana.wanaume sasa hivi mambo magumu sana.kwa hiyo ukianza kumpa mpa tarehe utabaki na naniluu yako.
 
Aisee wanawake wanafeeling kali sana anapokuelewa real, so km huyo demu unafahamiana nae siku nyingi basi jua alikua anakuelewa.
But kama mmekutana first time maisha yenu yote, my friend ....... Play smarter.
 
Et! Wana jukwaaa wenzangu, we unamchukuliaje mdada umekutana nae tu sehemu mara ghafla ukampenda na kuamua kumtongoza,na akakukubalia.

Then kesho yake akaamua kukutunuku kila unacho kihitaji kutoka kwake!

Wewe kama mwana jukwaa huru utamchukuliaje msichana wa dizaini hiyo?
MDADA YEYOTE ANAYENIPA PAPUCHI,I GOT MUCH RESPECT FOR HER,HUWA NAWAJALI PIA, mi huwa naona kupewa papuchi na mwanamke anayejielewa ni hadhi kubwa mno nimepewa
 
Sioni tatizo lolote.

Mambo ya kuanza kusumbuana, kuhangaishana ni kupotezeana Muda.

Muda wenyewe uko wapi wa kuanza kubembelezana Kimapenzi!?

Hiyo ndio yenyewe, unaulizia KALI na kinaeleweka.

Maisha yenyewe mafupi haya.

Eti nisubiri Miezi Sita bila ya kugusa!?

Halafu kuna mwenzako mwingine anapewa kiulaini kila anavyotaka, hiyo siyo kweli
 
Et! Wana jukwaaa wenzangu, we unamchukuliaje mdada umekutana nae tu sehemu mara ghafla ukampenda na kuamua kumtongoza,na akakukubalia.

Then kesho yake akaamua kukutunuku kila unacho kihitaji kutoka kwake!

Wewe kama mwana jukwaa huru utamchukuliaje msichana wa dizaini hiyo?
sasa hukutaka akupe?
au unafikiri ilifaa akuzingue siku ngapi ili umuone anakizi vigezo vyako?

mimi sipendi maigizo, hiyo imekaa poa ya nn mzungushane labda na yy alikuwa ana nyege kakupata azingue?
Alaaah
 
Et! Wana jukwaaa wenzangu, we unamchukuliaje mdada umekutana nae tu sehemu mara ghafla ukampenda na kuamua kumtongoza,na akakukubalia.

Then kesho yake akaamua kukutunuku kila unacho kihitaji kutoka kwake!

Wewe kama mwana jukwaa huru utamchukuliaje msichana wa dizaini hiyo?
Madem wa sampuli hii kurudiwa tena kwenye show huwa nadra na wanaume wanawachukuliaga kama safisha mkuyenge
 
Inategemea mkuu...wengine ni hisia tu akikupenda ata siku iyo iyo don't cheapalize them rather respect them dem anaeza akawa malaya akakupiga kalenda ata wiki tu na anaeza akawa sio malaya ukapata jibu lako the same day........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom