Ndoa ni safari
Kama safari ilivyo kuna mteremko, milima. mabonde, mashimo, lami na vumbi. Ndivyo ndoa ilivyo kuna raha na kuna huzuni.
Maisha ya ndoa yanaitaji uvumilivu na kusamehena.
Wakati nimeingia kwenye ndoa, sikujua kwamba ukiwa kwenye ndoa kunatabia lazima ziondoke ili uweze kuishi kwa...