Recent content by Mwl JJ

  1. Mwl JJ

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe: Serikali hairidhishwi na kampuni ya ubia kati ya TBC na Star Times

    Yaan roho huwa inauma kama hauna pesa kuona hannel za nyumban hadi ulipie wawe fair bas yaan kitendo hicho ni sawa kitendo mkeo kukutoza pesa kwa kila unapomuhitaji
  2. Mwl JJ

    JamiiForums Tanzania DED wa Mkinga kaonewa, Rais fanya uchunguzi ujiridhishe

    Da bora kuwa wa kawaida nahic ni nafuu maana cheo ni dhamana na nidira inayotazamwa popote pale so ushauri viongozi waishi kwa kulingana na zama zilizopo
  3. Mwl JJ

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Hali ya uchumi ni mbaya

    Na pro lipu wa c.. f
  4. Mwl JJ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ukinywa konyagi na readbul unachelewa kufika kileleni?

    Unaitajika kumuaandaa mwanamke kisaikilojia na usiwe na papala kaka hakikisha mpenzi wako kalainika bara bara alafu ndo kisalome wa diamond ukichemka hapo kuna fat zo c bure
  5. Mwl JJ

    JamiiForums Tanzania Baada ya kimya kirefu, Maalim Seif amtolea nyongo Prof. Lipumba, afichua siri zilizojificha

    Maprofesa wa Tz mmhmm ni vioja Yaan jamaa kama mugabe
  6. Mwl JJ

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Samia: Tunaendelea kuziba mianya ya Rushwa

    Mungu saidia isifike mwakan ajira mpya zitangazwe maana hali ni mbaya mtaani na pesa haiko kwa mzunguko
  7. Mwl JJ

    JamiiForums Tanzania TBS na ubora wa misumari

    Habari wana jamvi mimi kilio changu ni ubora wa misumari ya sasahivi, msumari mpya na mbao mbichi kabisa lakini msumari unapinda yaani sehemu ya kutumia kilo moja ya misumari unatakiwa kuongeza nusu au kilo kabisa sasa cjui tbs
  8. Mwl JJ

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, this is serious. Tafadhali usiruhusu hili!

    Mimi kwa mtazamo wangu kama Kabwe angekuwa ameajiriwa kama watumishi wengine wanavyo ajiriwa ningeunga mkono hoja ya kujitetea kama sheria ya utumishi inavyosema na Makonda angeweza Kumshugurikia hata bila ya kauli ya Rais lakini mkumbuke Kabwe ameteuliwa na Mwenye mamlaka ya kumsimamisha kazi...
  9. Mwl JJ

    JamiiForums Tanzania Bei ya sukari yapaa

    Iko hv mfuko wa kg 25 ndo 47000
  10. Mwl JJ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutazama picha/video za ngono ni hatari sana

    Ni kweli dada zetucwanadhalilika sana na hata imefikia hatua mtu na elimu yake anajirekodi na kuanza kusambaza ni kujishushia heshima tuheshimuni mapenz jaman
  11. Mwl JJ

    JamiiForums Tanzania Kuvunjika kwa muungano ndio tiketi ya CUF kuongoza Zanzibar

    Ila afrika tunawakati mgumu sana bora tungendelea na utawala wetu wa kichifu decentrolized country mambo yangeenda kama kawa huko kwingine tuwachie wazungu wenyewe
  12. Mwl JJ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada

    Msaada ndugu zangu PC yangu aina ya dell imeangua na haitaki kuwaka nifanyeje
  13. Mwl JJ

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    Borat69, post: 15254049, member: 88859"]Mkuu, Hakuna anayeweza kumfanya lolote Mh Rais. Rais wa nchi sio mtu ni taasisi. Hao wahujumu UCHUMI watanyooka wao.[sikuwahi hata siku moja kumsifia Rais ila kwa hili inabidi niseme nilifuatilia hotuba yake na kitu ambacho nimekipenda na ninahitaji...
  14. Mwl JJ

    JamiiForums Tanzania Clouds Fm wameanza kuisoma namba, tamasha la Fiesta nchi nzima lasitishwa

    Hao jamaa ni virus wakubwa sana katika tasnia hii ya bongo coz ukigombana nao ujue unashinda njaa kama ujajipanga au haupat tuzo mchwala za kil
  15. Mwl JJ

    JamiiForums Tanzania Morogoro mpotayariiii?

    Da ahsanten sana ipo wana mishikak ata leo nlivyokuwa na ubao nilisogea ple kabla ya kwenda kilakala
Back
Top Bottom