MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,102
Mimi sijaathirika maana nakunywaga supu, na familia yangu imezoea supu
Wala usilete hisia zako yeye ndio kaleta hizo takwimu,wewe unataka ziwe hivyo unavyopendekeza ili kuleta maana uitakayo,soo wa kg.25.Utakua ule mfuko wa kg 25 jamaa hapo kachemka.
Mdau una mawazo mazur ila nchi hii vimeshaundwa vikos vingi sana na hatujafanikiwa,kikosi cha usalama barabarani,kikose cha kupambana na dawa za kulevya ni mfano wa vikosi tu,kikos cha kupambana na ujangili,kikosi cha kupambana na ujambaz,Ngoja niweke sawa kwani huyu aliepost haijuwi hii industry vizuri 50KG YA SUKARI= 93,000-94,000 Kwa bei za jana na 25KG ilikuwa 46,000-48,000 na 1k ilikuwa 2000-2200 kwa Dar es salaam. Mahitaji ya sukari kwa matumizi ya viwanda na brown sugar for domestic use jumla ni Tonne 590,000. Viwanda vyetu vya ndani vinauwezo wa kuzalisha Tonne 320,000 tu brown sugar for domestic use ambapo sukari nyeupe yaani white refined sugar haizalishwi inchi kwa hiyo tunaagiza kutoka inje kiasi cha Tonne 170,000. Jumla ya mahitaji ya brown sugar kwa mwaka ni Tonne 420,000 kwahiyo tunaupungufu wa Tonne 120,000 ambayo lazima iagizwe inje ili kuziba gapu. Mpaka hapo utaona kwamba kuagiza sukari inje haiepukiki. Binafsi naona Rais alikuwa sawa ili kuzisukuma mamlaka zinazohusika kutafuta wawekezaji wanaoweza kuziba gap la Tonne 120,000 brown sugar ambapo siyo jambo la siku moja ni mchakato. Tatizo lililopo ni uingizwaji wa sukari nyingi za magendo kupitia bandari bubu ndiyo linalo asili kwa kiwango kikubwa soko la sukari ya ndani. Niliwahi kutoa mapendekezo humu kuwa ili kukabiliana na tatizo hili lazima serikali iunde kikosi kazi kitakacho husisha vyomba vyote vya ulinzi na usalama kwa ajili ya kukabiliana na uingizwaji wa bidhaa za magendo kupitia bandari bubu au hata bandari zetu kama tulivyoona kwenye makontena kupita bandarini bila kulipiwa huwezi jua kama na sukari zilikuwemo. Zinahitajika juhudi za kimakusudi kabisa kukabiliana na tatizo hili siyo jambo la siku moja
Viwanda hivyohivyo vilishawah kutuhumiwa kuwa vinaficha sukar makusud,mi nashangaa nchi yetu kila jambo huwa tunafel,hata sukar ambapo malighafi ni miwa inalimwa hapahapa bado tunashindwa kuzalisha ya kututosha,viwanda vyetu havina uwezo huo wakuzalisha sukari yakutosha.demand nikubwa.sukari toka nje ndyo suluhu yetu.
Una uhakika mfuko ulikuwa unauzwa elfu 45??? Nimefanya biashara ya sukari Na sijawahi kununua bei hiyo. Kama bei hivi sasa ni elfu 47 basi bei imeshuka. Ni wapi inauzwa hivyo nije nikusanye mzigo???Siku chache tangu rais azuie uingizwaji wa sukari ya nje. Bei imepaa kutoka sh. 2000 hadi 2500 pia mfuko wa kg 50 ulikuwa 45000 sasa hivi 47000.
Serikali isipoliangalia hili suala vizuri ifikapo mwezi ujao chai hatutakunywa tena. Kingine najiuliza inamaana viwanda vyetu haviproduce au kuna hukuma nyuma yake?
Wenye mamlaka chunguzeni suala hili
mbona zinafichwa lakini mkuu..........serekali imewaonya wote wanaoficha sukari!/ Ole wao!
HAYA NI MAMBO YA SARBOTAGE YASIYOVUMILIKA KAMWE!/
tatizo hawataki kuwatumia wapinzani eti wanaogopa watawafunika..............Ni suala lisilo ingia akilini, wiki moja tu toka ipigwe marufuku ya kuingiza sukari kiholela leo hii ipande ghafla. Kuna tatizo la msingi ama kwa wasimamizi au wasambaji. Miaka kadhaa iliyopita, PAC chini ya Zitto ilitoa mapendekezo ya jinsi kupunguza gap la sukari inayozalishwa nchini (tani 300,000 kwa mwaka) na mahitaji halisi(tani 420,000 kwa mwaka), moja ikiwa ni mradi wa RUIPA ambao tunaweza kupata tani Zaidi ya 200,000 kwa mwaka. Tumefikia wapi katika utekelezaji hili?
Tunaweza piga hatua tukiwa makini.
BABA YAKO ANA HASARA KWA KUZAA TOTO CHAGGA NA LALAMISHI KAMA WEWE.SOON UTAKUWA SHOGA.Uzuri wa nchi yangu TZ ni kwenye bei ya bidhaa. Bei ikiwa juu ndiyo raha yetu. Hata ikiwa 3000 hakuna atakayeshindwa kunywa chai. Kidumu chama cha mapinduzi kwa kutusomesha namba.
Itakua alikusudia sukariSukali ndio nini?
Weka sawa taarifa yako; f.y.i, Mfuko wa KG 50 kwa SH. 47,000= hiyo ina maana KG 1 ni SH. 940= ambapo siyo kweli hata chembe.
Siku chache tangu rais azuie uingizwaji wa sukari ya nje. Bei imepaa kutoka sh. 2000 hadi 2500 pia mfuko wa kg 50 ulikuwa 45000 sasa hivi 47000.
Serikali isipoliangalia hili suala vizuri ifikapo mwezi ujao chai hatutakunywa tena. Kingine najiuliza inamaana viwanda vyetu haviproduce au kuna hukuma nyuma yake?
Wenye mamlaka chunguzeni suala hili
kidumu! CCM oYeeee, Oyeeeeee, Teh TeheeUzuri wa nchi yangu TZ ni kwenye bei ya bidhaa. Bei ikiwa juu ndiyo raha yetu. Hata ikiwa 3000 hakuna atakayeshindwa kunywa chai. Kidumu chama cha mapinduzi kwa kutusomesha namba.
CCM mbele kwa mbele to kama uwez kununua sukari nunua chunvi apa kaz tokidumu! CCM oYeeee, Oyeeeeee, Teh Tehee