Nadhani yupo kwny campaign mana matatizo uliyo yaainisha hapo ndo yamepelekea magufuri awe tofauti na mtazamo wako,anataka kuyashughulikia bila uoga,kumbuka wakwepa kodi wapo mahakamani na tra imezibitisha ukwepaji kodi wao ni zaidi ya trioni moja,na mahakama ndo mlango wao wa kusepa na historia inaonyesha serikali haijawahi shida kesi,wahusika huwahonga majaji na kuteleza,wakati huohuo mahakama wanahitaji pesa kutoka serikalini kwa ajili ya kesi za uchaguzi,hata live coverage ya maadhimisho yao ilishindikana 2bil zilitakiwa lkn hamna fedha,kwhy prezidaa aliamua kufikisha ujumbe uchome mioyo yao.Big up sana Hamna kuzunguka mahakama wamekuwa untouchable muda mrefu acha awachane.Mkuu upo kwenye kampeni nini?

Speech za Rais Magufuli zinashida kidogo, Rais akizungumza anazungumza kama mtu aliyejaa visasi na sifa nyingi, hana utaratibu mzuri katika kupangilia kile anachokisema.
Kama rais anapaswa kuzungumza kwa utaratibu na mpangilio hata kama ni sehemu anasisitiza jambo, vijembe kwa walio chini yake ni kutafuta tu kick kwa wananchi ambao mwenyewe keshatujua na amejawa na sifa tunazompa kila siku. Rais ni reflection ya watu alionao.
Hiyo ni Nyerere staili na viongozi wote ambao wapo timamu. Magufuli yupo sahihi sana. Sehemu ambapo nchi hii ilifikia inabidi afanye anavyofanya, yaani ni kama ameletwa na mungu aje aokoe taifa Tanzania.

Ni kweli kabisa Joka kuu hayupo aliye msafi kwa asilimia zote za usafi na ni kweli hata yeye Magufuli ana mapungufu kwani nae sio malaika ila ndie bora kati ya walioongoza hii nchi baada ya mwl. Nyerere. Anachokifanya raisi kwa sasa ndicho alichokuwa akikihubiri majukwaani wakati wa kampeni na hakika ndicho kilichokua kilio cha wananchi wote na pia ndizo sifa za kiongozi bora. Magufuli anayaelewa mapungufu yote ya viongozi waliopo na waliopita. Anaelewa mbinu zote wanazotumia mafisadi kuliibia taifa hili. Anaelewa mbinu zote wanazotumia hao hao mafisadi kuingia mikataba feki inayowaumiza wananchi na wao kujiwekea hela nje ya nchi. Ana uthubutu wa kuwachukulia hatua kali viongozi wazembe,wezi na wababaishaji na kwa wakati. Nadhani mmemsikia raisi jana akimhimiza jaji mkuu aharakishe hiyo mahakama ya mafisadi tena hata bila kibali cha bunge. Nadhani kwa yote ambayo ameshayafanya kwa kipindi chake hiki kifupi anastahili pongezi na kutiwa moyo,maombi na dua za watanzania wote. Wenye kejeli na kebehi haswa katika masuala ya bomoa bomoa ni kshindwa kwao kuzielewa zisemavyo sheria.
Kwa hapa tulipokuwa tumefika tulihitaji Rais mwenye hotuba kali kama Magufuli. Na mtu yeyote anayempinga Magufuli lazima atakuwa au yeye mwenyewe ni jipu au pengine ndugu yake katumbuliwa. Serikali inakusanya sh trilioni moja na nusu kwa mwezi bilioni 600 zaidi ya makusanyo ya serikali iliyotangulia, ajabu watu wanasema Rais anatafuta sifa, acheni hizo.Speech za Rais Magufuli zinashida kidogo, Rais akizungumza anazungumza kama mtu aliyejaa visasi na sifa nyingi, hana utaratibu mzuri katika kupangilia kile anachokisema.
Kama rais anapaswa kuzungumza kwa utaratibu na mpangilio hata kama ni sehemu anasisitiza jambo, vijembe kwa walio chini yake ni kutafuta tu kick kwa wananchi ambao mwenyewe keshatujua na amejawa na sifa tunazompa kila siku. Rais ni reflection ya watu alionao.
acha sifa za mijingaKazungushe mikono kule unazijua hata sifa za good speech ama unakurupuka tuu...!!! Unasema zinakukera speech za babu yenu za dakika3 zilikua zina nn tutolee upuuz wa Monduli hapa kanywe viroba kulee
Mkuu umeona hiyo..Watz siasa zimeshatuaribu. Wanataka aongee km mtu mwingine hata hawajui kila mtu anapersonality yake.Kweli ss watanzania tuna shida kichwani..... Cjui akae nani asiletewe dosari.
Wewe jipu kaa utulie ukamuliwe kama zamu bado still come down utafikiwa tuSpeech za Rais Magufuli zinashida kidogo, Rais akizungumza anazungumza kama mtu aliyejaa visasi na sifa nyingi, hana utaratibu mzuri katika kupangilia kile anachokisema.
Kama rais anapaswa kuzungumza kwa utaratibu na mpangilio hata kama ni sehemu anasisitiza jambo, vijembe kwa walio chini yake ni kutafuta tu kick kwa wananchi ambao mwenyewe keshatujua na amejawa na sifa tunazompa kila siku. Rais ni reflection ya watu alionao.
Mtendeeni haki Rais ameeleza kilichotokea kama kilivyo kwa maana nyingine kasema ukweli mtupu! Mlitaka aongope? Wengi wape. Kama wananchi wengi wanapenda anachofanya na anavyoongea who are you to criticise? Si mnasema demokrasia ni wengi wape?!Sasa huoni kuwa jamaa wa NIDA keshahukumiwa na akipelekwa mahakamani jaji lake ni moja tu, kumfunga? Kimsingi magu asiwe anatoa hukumu kwani anawanyima wanasheria uwezo wa kufanyakazi kwa kuwaingilia. Hebu awaachie wenye kazi yao kwani watatoa hukumu za kumpendeza yeye na hii ni kinyume cha haki.
si bora wewe bado unaendelea kumsikiliza , mimi nilishaacha kitambo sana .Speech za Rais Magufuli zinashida kidogo, Rais akizungumza anazungumza kama mtu aliyejaa visasi na sifa nyingi, hana utaratibu mzuri katika kupangilia kile anachokisema.
Kama rais anapaswa kuzungumza kwa utaratibu na mpangilio hata kama ni sehemu anasisitiza jambo, vijembe kwa walio chini yake ni kutafuta tu kick kwa wananchi ambao mwenyewe keshatujua na amejawa na sifa tunazompa kila siku. Rais ni reflection ya watu alionao.
Hatuhitaji hotuba, tunahitaji vitendo, na Magu hahitaji kick maana vitendo vinaonekana. Ninamuombea kila sikuKwenye suala la diplomasia na busara tukubaliane Raisi wetu siyo mtaji wake..Hata kama ulikuwepo uwanja wa Taifa na kusikiliza hotuba yke ya kwanza kama Raisi yaani alikuwa anachanganya tu mambo.Ila ndo Magu huyo,tutamisi sana hotuba za Msoga.