TBS na ubora wa misumari

Mwl JJ

Member
Jan 31, 2013
23
4
Habari wana jamvi mimi kilio changu ni ubora wa misumari ya sasahivi, msumari mpya na mbao mbichi kabisa lakini msumari unapinda yaani sehemu ya kutumia kilo moja ya misumari unatakiwa kuongeza nusu au kilo kabisa sasa cjui tbs
 
Back
Top Bottom