Recent content by MWITONGO MAARIFA

  1. M

    Ni ipi nafasi ya wastaafu nchi hii?

    Ipo tafsiri moja TU ya Nini wastaafu wafanye katika ardhi ya Tanzania. Tafsiri ya Nini wafanye inaongozwa na ni kipi wakisemacho waliopo madarakani kwa Sasa pale tu wastaafu wanapopata jukwaa wakatoa maoni yao. Wastaafu mnaelekezwa na vijana " MKAE KIMYA" hii nchi mlichoifanyia kinatosha na...
  2. M

    Leo ni Siku ya Pili yule ' Mbabe ' wa ' Twitani ' aliyejizolea ' Umaarufu ' ghafla hajaonekana je, Kulikoni tena?

    Huyu mtu alikuwa anatoa taarifa za kweli na zisizo za kweli na alichangamsha jukwaa, ila siku hizi naona asikiki Tena kupitia tweeter. Hayupo na updates zake Tena, nikajiuliza amechukua likizo au ameenda Kijiji kwao kujiandikisha kupiga kura? Mwenye kumwelewa alipo huyu mwananchi atueleze maana...
  3. M

    Mtifuano jimbo la Ukonga Makonda Vs Waitara. Mjumbe amtuhumu Waitara kumhonga bia ili asizungumzie maendeleo jimboni

    Tuliambiwa wameunga mkono juhudi kwa lengo la kuwaletea maendeleo wananchi. Wamefika huko wamepewa madaraka wameanza kubweteka na kutuambia tunywe bia tuache kuhoji maendeleo waliyotuahidi. Wanafanya hivi kwa sababu wameakikishiwa kuwa kura zetu siyo muhimu kwani zinaweza kubadilishwa na tume...
  4. M

    Wanaobeza Haki za binadamu wakifiwa na wapendwa wao kwa vipigo Kama vya RC ndo watajua umuhimu wa sheria.

    Kuna tabia inajengeka nchi hii ya kutokutii sheria za nchi, ipo tabia ya wanasiasa kujifanyia Mambo kinyume Cha sheria. Yapo Mambo ambayo hayawezi kufanyiwa kazi na kwa miemuko ya watu au viongozi. Hivi kwa bahati mbaya mkuu wa mkoa angempiga mwanafunzi akaua leo tungemtetea? Angemfanya kilema...
  5. M

    IGP Sirro alalamikia unafiki ndani ya Jeshi la Polisi, Changamoto nyingine ni baadhi yetu kujihusisha na siasa

    Jeshi lolote au chombo Cha ulinzi Duniani kinahitaji mambo matano au zaidi 1. Askari wakutosha na wenye ueledi 2.Rasilimali vifaa/ vitendea kazi 3.Rasilimali fedha 4.Ukaribu na wananchi 5. Usiri na utendaji wenye haki. Kati ya vitu vitano hapo juu jeshi lako Lina kitu kimoja tu ambacho Ni...
  6. M

    Rais Magufuli: Waliopo mahabusu kwa kesi za uhujumu uchumi, kama wapo tayari kuomba msamaha na kurejesha pesa, kama Sheria inaruhusu nashauri waachiwe

    Mhe. Rais anasema hajamwagiza DPP wala hataki kuingilia Uhuru wa mahakama ila kwa ukweli kabisa na kwa kuzingatia taratibu za kimahakama mtu akikiri kosa kesi inakwisha na wala haiitaji Rais aseme, Wale wanaoamini walitenda wapo uraia tayari au wanatumikia vifungo na wale wanaoamini hawakutenda...
  7. M

    DGIS Diwan Athuman jiulize DDGIS Makungu alitumbuliwa au alipelekwa Tabora kujinoa kushika hatamu?

    Kuteuliwa kwa Diwan Athuman kuna manufaa kwa Taifa na ustawi wa taasisi hii nyeti kwa nchi yetu. Lakini kuteuliwa kwake kuna changamoto kwa sababu hajui vigezo vilivyotumika kumpa hiyo nafasi na siku akiondolewa hatoweza kuhoji kwanini kaondolewa na yawezekana akakabidhiwa ubalozi na maisha...
  8. M

    JKT, Mafunzo yenu yamevamiwa na raia wa kigeni bila ninyi kujua

    Hii hoja ni valid na niiunge mkono katika maeneo haya: 1. Nani raia wa Tanzania? 2. Je, mtu asiye raia wa Tanzania anaruhusiwa kuajiriwa kwenye utumishi wa umma? 3. Kwa wale raia wa kigeni walioajiriwa kwenye utumishi wa umma wanatambulika Kama raia wa kigeni au Watanzania? 4. Tuliwaondoa...
  9. M

    Afrika Kusini: Mahakama ya Gauteng yaamuru ndege ya Air Tanzania iliyokuwa inashikiliwa nchini humo kuachiwa. Hermanus Steyn akata rufaa

    Naipongeza serikali kwa kushinda kesi na kufanikisha ndege hiyo kurejea Tanzania. Moja ya hoja ambayo iliwasilishwa na mawakili wetu ni kudai ndege ni Mhe.Rais jambo ambalo sote tunajua si kweli. Lakini hoja hii inanifanya nijiulize Kama tumeshinda kesi au tumepata ushindi kwa kuzingatia...
  10. M

    Kukamatwa kwa Ndege ya ATCL huko SA: Serikali imkamate mtoto wa Herman Steyn kwa kufanya udukuzi hapa nchini

    Huyu babu namkumbuka aliwekwa ndani na Mwalimu kwa kosa la uhujumu uchumi huku akijimilikisha Mali yakiwemo mashamba baada ya familia yake kufurumushwa huko Kusini na kuja kuweka makaazi hapa Tanzania. Kesi yake kuwekwa kizuizini iliwaibua mabebeberu kumtetea lakini Mwalimu alimfurumusha na...
  11. M

    Wafuatao wajiandae kisaikologia kuelekea kisutu

    Zipo taarifa zinaeleza kuwa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 baadhi ya watu wapo katika hati hati ya kupiga kampeni wakiwa gerezani au wakiwa na kesi mahakamani. Mfano 1. Benard Membe 2. January Makamba 3. Mzee Kinana 4. Paul Makonda 5. Mnyeti 6. Emmanuel Nchimbi 7. Maalim Seif 8. Suleiman...
  12. M

    Wazanzibar hawatumbuliwi bara wala visiwani.

    Wanasiasa kutoka Zanzibar hatuwaoni wakitumbuliwa katika baraza la mawaziri la muungano au serikali ya mapinduzi, je zanzibari ilichagua wabunge sahihi na waadilifu na huku bara tukachagua wahalifu na watu wasio na sifa za uongozi? Je Rais wa Zanzibar afanikiwi kwa kutobadilisha safu yake au...
  13. M

    Tetesi: Baada ya Makamba, mabalozi watatu, wakuu wa mikoa watatu na wakuu wa wilaya saba kutumbuliwa

    Katika kile kinachoonekaonekana Vita ya wasaliti ndani ya chama kupamba Moto tayari baadhi ya mabaloz wameonekana kuhusika mojamoja na mgawanyiko ndani ya chama na hivyo hivi karibuni watarejeshwa nchini. Pia wapo wakuu wa mikoa waliojipanga kugombea ubunge na wakuu wa mikoa wanaohisiwa wapo...
  14. M

    Nani amewahi kuona dodoso la NBS?

    Dr.Albina Chuwa amepingana na taarifa iliyotolewa na world Bank kuhusu ukuaji wa uchumi wa Tanzania wa 5%,2018 akidai kuwa data zilizotumika hazina ukweli kwani ni vigumu mtu kukaa Ulaya na kupima uchumi wa Tanzania. Amedai wao wamekusanya data nchi nzima na kubaini uchumi unakua kwa 7% na...
  15. M

    Mhe.Naomba ruhusa niende Misri

    Taifa liligawanyika...wote tunaipenda Taifa stars ila kusema ni timu ya serikali, timu ya CCM na inakeleza ilani ya chama Cha mapinduzi amekosea...ukiangalia watu wengi ni Kama wamegawanyika Kati ya Ndugai na mkuu wa mkoa....Aina hii ya ushabiki mwakyembe alipaswa kuikemea Kama Waziri mwenye...
Back
Top Bottom