MWITONGO MAARIFA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 276
- 1,428
Ipo tafsiri moja TU ya Nini wastaafu wafanye katika ardhi ya Tanzania.
Tafsiri ya Nini wafanye inaongozwa na ni kipi wakisemacho waliopo madarakani kwa Sasa pale tu wastaafu wanapopata jukwaa wakatoa maoni yao.
Wastaafu mnaelekezwa na vijana " MKAE KIMYA" hii nchi mlichoifanyia kinatosha na Sasa tuacheni tufanye.
Kwa mtu mwingine hii kauli ni ya kawaida na yakupuuzwa ila kwa Mwenye kuelewa maana ya uzalendo na kutokuwa mnafiki anaelewa wazi kwamba hii Ni fedhea.
Wanaposema wanachama wa chama Cha siasa kwamba mstaafu flani akae kimya na hakuna kiongozi wa chama anayekemea ni kukujulisha kwamba Hawa wanachama wanasimamia msimamo wa chama na wametumwa kukipigania chama kwa kukuambia ukae Kimya.
Pls, wastaafu jueni kwamba muda wenu umekwisha na mnatakiwa mwendelee kula pensheni na kukaa Kimya kwa sababu hata sisi tukistaafu hatutarudi majukwaani ila tukivurugana tutakuita uje kutusuluisha, tukizidiwa kwenye kampeni au tukizidiwa nguvu na tukaanza kumeguana tutakuita na kukupa uwanja uzungumze.
Kwa Sasa Mambo yapo shwari kaeni Kimya, na tukiwaalika kwenye tafrija na makongamano mkatika tutawasifia sana na kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa " vumilieni" maana msipoyuvumilia mtataka kusema na mkisema wakati tumewataka mkae Kimya mtakuwa mnatuchokoza na mnajua nguvu tuliyonayo na uzuri ninyi pia hii nguvu mliwahi kuwa nayo na mnajua isivyo na Kinga ikiatumika kuadhibu. Pls kaeni Kimya.
Kwani watoto wenu wamekosa kula? hapana pls kaeni kimya