MWITONGO MAARIFA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 276
- 1,428
Wanasiasa kutoka Zanzibar hatuwaoni wakitumbuliwa katika baraza la mawaziri la muungano au serikali ya mapinduzi, je zanzibari ilichagua wabunge sahihi na waadilifu na huku bara tukachagua wahalifu na watu wasio na sifa za uongozi?
Je Rais wa Zanzibar afanikiwi kwa kutobadilisha safu yake au anafanikiwa? Kwa kuwa ni mkongwe kwenye Urais katiba ya Jamuhuri aimpi nafasi kumshauri vyema rais wa Muungano?
Kwanini tusiwateue wazanzibar kuwa viongozi waandamizi na mawaziri kukwepa gharama za kutengua?