Nani amewahi kuona dodoso la NBS?

Nani amewahi kuona dodoso la NBS?

MWITONGO MAARIFA

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2018
Posts
276
Reaction score
1,428
Dr.Albina Chuwa amepingana na taarifa iliyotolewa na world Bank kuhusu ukuaji wa uchumi wa Tanzania wa 5%,2018 akidai kuwa data zilizotumika hazina ukweli kwani ni vigumu mtu kukaa Ulaya na kupima uchumi wa Tanzania.

Amedai wao wamekusanya data nchi nzima na kubaini uchumi unakua kwa 7% na wataelendelea kusimamia hivyo.

Nimejiuliza ni wangapi walioona dodoso la NBS ofisini,sokoni,chuoni liliokuwa linakusanya data?

Lakini taarifa ya world Bank inaonyesha udanganyifu wa data zinazotumiwa na Tz,

Je, huyu mama anaamini uchumi ni porojo au data?
 
Nitamwamini mkoloni Mweupe kuliko Mkoloni Mweusi
 
Kuliona tumeliona!
Swali lingine?
 
Kwani dodoso la World Bank umeliona wapi?

Nadhani kuna njia wanazotumia kupata takwimu nje ya dodoso. Kama mapato jumla ya mauzo nje, Jumla uwekezaji wa ndani n.k
 
Dr.Albina Chuwa amepingana na taarifa iliyotolewa na world Bank kuhusu ukuaji wa uchumi wa Tanzania wa 5%,2018 akidai kuwa data zilizotumika hazina ukweli kwani ni vigumu mtu kukaa Ulaya na kupima uchumi wa Tanzania.

Amedai wao wamekusanya data nchi nzima na kubaini uchumi unakua kwa 7% na wataelendelea kusimamia hivyo.

Nimejiuliza ni wangapi walioona dodoso la NBS ofisini,sokoni,chuoni liliokuwa linakusanya data?

Lakini taarifa ya world Bank inaonyesha udanganyifu wa data zinazotumiwa na Tz,

Je, huyu mama anaamini uchumi ni porojo au data?
Phd za wereva kama yule profeseri wa jalalani
.... #Data hupingwa kwa Data za utafiti!
 
hili ni tatizo alilolitengeneza magufuli, anapenda sifa na mafanikio makubwa yasio na uhalisia, waliomzunguka wote wanalijua hilo na hivyo basi wameamua kuweka taaluma zao pembeni na kumpa anachotaka, uwongo unaopendeza na kufurahisha, kule kiwango cha ufaulu kinapanda, huku uchumi unakua kwa 7%, mara TIB na TTCL wanatoa gawio (kisha nyuma ya pazia wanalialia ukata), hajakaa sawa ATCL inaingiza faida!
they are treating him like a child, as if the truth is too much for him.
 
Hivi kila siku kwanini tuwe negative kwa nchi?
 
swala sio kuwa negative au positive bali ni ukweli na uhalisia. hauwezi kutatua tatizo kama hauamini kuwa kuna tatizo!
 
Dr.Albina Chuwa amepingana na taarifa iliyotolewa na world Bank kuhusu ukuaji wa uchumi wa Tanzania wa 5%,2018 akidai kuwa data zilizotumika hazina ukweli kwani ni vigumu mtu kukaa Ulaya na kupima uchumi wa Tanzania.

Amedai wao wamekusanya data nchi nzima na kubaini uchumi unakua kwa 7% na wataelendelea kusimamia hivyo.

Nimejiuliza ni wangapi walioona dodoso la NBS ofisini,sokoni,chuoni liliokuwa linakusanya data?

Lakini taarifa ya world Bank inaonyesha udanganyifu wa data zinazotumiwa na Tz,

Je, huyu mama anaamini uchumi ni porojo au data?
Madodoso yapo tuombe watu wa NBS watusaidie kuelimisha. Kuna producer price index linalotumika kukusanya data za uzalishaji viwandani, household budget survey kuangalia matumizi katika ngazi ya kaya, sensa, utafiti wa kilimo, utawala nk
 
Umemtukana wa nini?
Mpumbavu anashabiķia ujïnga wa kupika data.Nan asiyejua àwam hii mtu hata akiwa na njaà wanataka aseme nimeshiba.Viashiria vya ukuaji wa uchumi viko wapi zaid porojo źa kutuwekea maasilimia
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Hivi kila siku kwanini tuwe negative kwa nchi?
Swali zuri lingekuwa, kwa nini Serikali inapenda matendo negative kwa ukuuaji wa uchumi wa nchi?

Aliye negative kwa nchi ni yule anayedanganya na kupumbaza wananchi. Tukitaka kuwa positive kwa nchi yetu, jambo la kwanza ni kuukubali ukweli na kisha kuufanyia kazi.
 
Madodoso yapo tuombe watu wa NBS watusaidie kuelimisha. Kuna producer price index linalotumika kukusanya data za uzalishaji viwandani, household budget survey kuangalia matumizi katika ngazi ya kaya, sensa, utafiti wa kilimo, utawala nk
Option ya data zilizopikwa sio madodoso ni kupata ya upande wà pili hata kamà watatofautiana methodology.NBS haiwez kutoa taarifa tofaut na za jiwe anayependa sifa.7% imeanza kuzungumzwa na jîwe kabla hãta report ya NBS.Unatakiwa kujua kuwa wanapoomba mkopo kwenye taass za kimataifa lazima wapeleke scientific report zenye ushawishi ili wapewe mkono hvy bas sis wanyonge tunadanganywa ili aendee kupata cheap popularity.Uongo huu hauna tija kwa wananchi
 
Huyo mama anachoweza kutupa ni athari za mkorogo wake anaopaka,sura imekua kama ndizi ya kuchoma....hata mpumbavu anajua data za NBS za kupikwa
Dr.Albina Chuwa amepingana na taarifa iliyotolewa na world Bank kuhusu ukuaji wa uchumi wa Tanzania wa 5%,2018 akidai kuwa data zilizotumika hazina ukweli kwani ni vigumu mtu kukaa Ulaya na kupima uchumi wa Tanzania.

Amedai wao wamekusanya data nchi nzima na kubaini uchumi unakua kwa 7% na wataelendelea kusimamia hivyo.

Nimejiuliza ni wangapi walioona dodoso la NBS ofisini,sokoni,chuoni liliokuwa linakusanya data?

Lakini taarifa ya world Bank inaonyesha udanganyifu wa data zinazotumiwa na Tz,

Je, huyu mama anaamini uchumi ni porojo au data?
 
Option ya data zilizopikwa sio madodoso ni kupata ya upande wà pili hata kamà watatofautiana methodology.NBS haiwez kutoa taarifa tofaut na za jiwe anayependa sifa.7% imeanza kuzungumzwa na jîwe kabla hãta report ya NBS.Unatakiwa kujua kuwa wanapoomba mkopo kwenye taass za kimataifa lazima wapeleke scientific report zenye ushawishi ili wapewe mkono hvy bas sis wanyonge tunadanganywa ili aendee kupata cheap popularity.Uongo huu hauna tija kwa wananchi
Hivi unajua kuwa una matatizo?
 
Nijiavyo takwimu huwa hazidanganyi na kuna peer review kati ya NBS, WB, IMF. Tatizo kubwa kwa nchi yetu, ni vita na ushindi magufuli anaoupata kama huu https://www.bloomberg.com/news/arti...ld-reaches-agreement-to-buy-out-acacia-mining. Hata jana paschal Mayala kapata shida ili alete source
umeisoma final offer ya Barick? kwenye ile document kuna appendix 4 ambayo inaelezea draft ya makubaliano kati ya GoT na Barick (ambayo serikali iliyafanya siri), nenda kasome vizuri kisha uone kama kuna 'ushindi' wowote!
sio kwamba nabeza jitihada za serikali, kwenye hili la madini naamini hata ukiwauliza watanzania wengi wanaiunga mkono serikali 100%, nachopinga ni tabia ya kuwalaghai wananchi na mafanikio yasiyo na uhalisia.
 
Attachments

Back
Top Bottom