Recent content by mwitamarwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wastara Kikaangoni EATV, aibua mapya ya Mange Kimambi, Ali Kiba kumpa msaada na hasimu wake kumnyima

    Bongo amesemaje kuhusu wao??, ache kulalama ,kuna wa tz wako wana shida sana lakini wanalilia ndani kwa ndani
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazipelekea barua balozi za Marekani na Ujerumani kuhusu tuhuma za Musiba kwamba zinaihujumu Tanzania

    Acha kubwabwaja mkuu, taarifa yeyote hata iwe ya kichaa lazima ifanyiwe kazi na system za interegensia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuombewa na mtumishi wa Mungu GeorDavie ni laki moja kwa kila mtu

    Hawa ndio wanaorushia watu mapepo kisha wanawaambia wakawaombee ili wawape hela, serikali iingilie kati swala hili, la sivyo wananchi wataibiwa Sana'a, kumbe kikundi cha watu wachache kinapiga hela kwa kutengenezea watu matatizo,
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya China na Kanisa Katoliki

    Pumba kabisa, watu wakikosaga cha kufanya huwa wanaandika maharage yaliyochacha
  5. M

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ni mgonjwa anatibiwa India! Tumuombee

    Mgonjwa akipigwa rufaa kwenda India ni sawa na ndio mwisho wake, gonjwa linalomsibu halitibiki bongo, tumuombee kiongozi shupavu apone haraka aje apige kazi ya kujenga nchi yetu nzuri
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe orodha ya watumishi waliokataliwa kulipwa

    Isee
  7. M

    JamiiForums Tanzania Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

    Acha uongo, labda unazungumzia TISS ule mfumo wa benk kuu ,
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wa siku hizi hawakati Viuno Vitandani hadi walazimishwe?

    Mkuu kama una kibamia usitarajie demu akatike kiuno, na wao k siku hizi zinekuwa mabwawa kwa kujisaga na vidole kwa hiyo ngoma daroooo hapo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Video: Azimia jukwaani baada ya kutumbuliwa na Makonda

    Karibu Mzee upate moja ya moto, wazee wenzako wamelala , wewe uko jamii forum unachambana na vijana kuwa makini Mzee, tunakutegemea Sanaa kwenye ushauri ( wazee ni benk ya busaraz), enzi zenu smartphone hazikuwepo eee???.?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Video: Azimia jukwaani baada ya kutumbuliwa na Makonda

    Shule gani hiyo unaweza kutoa mkuu? Mbona unaonekana mtu mzima ulieenda kiumri lakini akili zina drop down,
  11. M

    JamiiForums Tanzania Video: Azimia jukwaani baada ya kutumbuliwa na Makonda

    Mapovu ya nini mkuu?, mbona una tabia za kike mkuu? ,
  12. M

    JamiiForums Tanzania Video: Azimia jukwaani baada ya kutumbuliwa na Makonda

    Tofautisha kati ya Takwimu na statistics, Takwimu na namba, fani za wengine usiwe unaparamia mkuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Video: Azimia jukwaani baada ya kutumbuliwa na Makonda

    Wewe unajua nini maana ya Takwimu ( statistics)????, sema namba na sio Takwimu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Video: Azimia jukwaani baada ya kutumbuliwa na Makonda

    Acha uchawi kijana
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nape: Usalama wa Taifa hausaidii nchi, wamekalia kusikiliza simu za watu

    Una uhakika na ulichoandika???? ,
Back
Top Bottom