Unawez kwenda kuchukua posho yako ya leo kwakuwa umetumiza wajibu uliotumwa hapa JF leo. Gongolamboto watu wana akili zao sio wasaka posho za majungu kama wewe.
Bado sijaona mtu wa kumuondoa Waitara Ukonga 2020.
Ila kwakuwa ni demokrasia tunatarajia kupata mshindani kutoka ccm ili amsindikize.
Kazi za kimaendeleo zilizofanywa na Waitara kwa kipindi cha miaka miwili ni zaidi ya wabunge wote waliomtangulia. Kuanzia kwenye miundombinu ya elimu, afya...
pascal Mayallla habari za siku nyingi sana mkuu. Bila shaka umemaliza maonyesho ya sabasaba na wale mabinti wawili wamekuachia sasa unaweza kurudi JF kujifunza siasa japokuwa upo jukwaani.
Kama hiki unachotaka kumshauri Mh. Tundu Lissu unakiamini ulipaswa kuwa wa kwanza kukifanya, vinginevyo...
Asalam aleikum "wananzengo". Ni siku nyingi sana sijashiriki mijadala hapa JF lakini nimekuwa msomaji zaidi. Kutokana na mihemko ya kisiasa inayoendelea hapa nchini upotoshaji umekuwa ni mkubwa sana na watanzania wengine bila kutafakari wamekuwa wakilipuka na kufuata mizuka ya viongozi bila...
Bahati nzuri tangu jana nipo hapa Bomang'ombe na nimekuwa nikiongea na watu wa rika mbslimbali juu ya halmashauri ya wilaya ya Hai.
Wengi wanaridhika na kiwango bora cha utumishi toka kwa mbunge wao Mh. Mbowe.
Lakini pia wanaridhika na kiwango bora cha utumishi toka kwa baraza lao la halmashauri...
Hii ya JPM ni kengele ya hatari kwa viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani. Wakati sisi tunafikiria kujenga utaifa, kumbe Raisi wa nchi anafikiria kuijenga ccm kwa gharama ya kudhalilisha viongoxi wa upinzani.
Kwahakika raisi asiendelee kuhadaa watanzania kuwa ni raisi wa wote...
MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA ILALA ALIVYODHALILISHWA NA SERIKALI YA MAGUFULI
Makamanda pipozzzzz! Jana nilipokea mwaliko wa maneno kutoka kwa Mkuu wa Wilaya kupitia kwa Mkurugenzi wangu Manispaa ya Ilala wakinitaka niungane nao leo (jana) kwenye ziara ya Raisi Kinýerezi kuweka jiwe la msingi la...
As far as i know Eng. Dkt. Masika degree yake ya uzamivu sio fake.
Suala la kukiharibu chuo kwa kufukuza fukuza academic staff ni la kweli. Pia tuhuma za kutumia gharama kubwa katika miradi ya ujenzi wa majengo siwezi kulikataa.
Kwa taarifa tu ni kwamba alipokuwa Mkurugenzi wa Mafunzo DIT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.