georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 589
Hujasikia mmeo anawambia Policcm wazuie mikutanoKWANI BADO KUNA CHAMA KINAITWA CHADEMA SIKU HIZIII? MBONA SIKISIKIII!!!!! JAMANIII KIPO KWELI???

Ilianza kwenye kuchagua mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA.
Kwa sasa hata kuchagua Katibu Mkuu imekuwa vivyo hivyo.
Wanachama wanaombwa wanyoshe mikono juu badala ya kupewa kalamu na karatasi ili watumie haki yao ya msingi kikatiba kuchagua kiongozi wanayemtaka ndani ya sanduku la kura za siri.
Hii dhana ya uoga ni dalili inayoonyesha kinachofanyika viongozi wanafahamu hakikubaliki na wengi!
Hii aina ya demokrasia imeanza kustawi ndani ya CHADEMA baada ya ujio wa Lowassa na genge lake.
Unawaambia wanachama wanyoshe mikono juu wakati umewaangalia usoni kwa kutumia sura ya kutisha.
Kilichofanyika ni sawa na making important decisions under duress na hii katika macho ya sheria ni void.
Chama cha Demokrasia lakini hakiishi katika demokrasia ya kweli.
Wanachama wanajengewa nidhamu ya uoga na kulea matatizo.
Mimi nadhani hata CCM ina demokrasia zaidi ya hii tunayoshuhudia ndani ya CHADEMA.Kijana ndio maana tunasema chadema ni ccm "b".
thubutu. ...eti CCM Wahurumie CHADEMA? Haipo hiyoCc
Ccm wanaweza kulia kumbe wanakuhurumia wewe, utawala wakifalme ushapotea kitambo nyie mnangangana na king mbowe
kumbe ndio huyu anahangaika kama kuku anataka kutagaDear Mr. Party leader, mind your own party business. Chadema is ours and we dont need your advise or concern. Hangaika na chama chako cha Mawese.
Unaleta vitu vilivyotoboka sanaIlianza kwenye kuchagua mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA.
Kwa sasa hata kuchagua Katibu Mkuu imekuwa vivyo hivyo.
Wanachama wanaombwa wanyoshe mikono juu badala ya kupewa kalamu na karatasi ili watumie haki yao ya msingi kikatiba kuchagua kiongozi wanayemtaka ndani ya sanduku la kura za siri.
Hii dhana ya uoga ni dalili inayoonyesha kinachofanyika viongozi wanafahamu hakikubaliki na wengi!
Hii aina ya demokrasia imeanza kustawi ndani ya CHADEMA baada ya ujio wa Lowassa na genge lake.
Unawaambia wanachama wanyoshe mikono juu wakati umewaangalia usoni kwa kutumia sura ya kutisha.
Kilichofanyika ni sawa na making important decisions under duress na hii katika macho ya sheria ni void.
Chama cha Demokrasia lakini hakiishi katika demokrasia ya kweli.
Wanachama wanajengewa nidhamu ya uoga na kulea matatizo.
Sidhani kama anafahamu mantiki ya comment yake!Asante kwa kufananisha Democrasia ya CHADEMA na ya Bunge ni, msisuse sasa na kutoka nje mkifanyiwa hivyo kwa sababu ni utaratibu wenu pia.
Kwahiyo chadema nao wanaiga mabaya ya ccm?Kwani mkuu mbona ndugai na genge lake wanafanya hivyo bungeni na mambo ya kitaifa yanapitishwa? Au ccm ni kuku na chadema ni bata yeye huwa anaarisha tu Wakati wote?
Nonsense.Ilianza kwenye kuchagua mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA.
Kwa sasa hata kuchagua Katibu Mkuu imekuwa vivyo hivyo.
Wanachama wanaombwa wanyoshe mikono juu badala ya kupewa kalamu na karatasi ili watumie haki yao ya msingi kikatiba kuchagua kiongozi wanayemtaka ndani ya sanduku la kura za siri.
Hii dhana ya uoga ni dalili inayoonyesha kinachofanyika viongozi wanafahamu hakikubaliki na wengi!
Hii aina ya demokrasia imeanza kustawi ndani ya CHADEMA baada ya ujio wa Lowassa na genge lake.
Unawaambia wanachama wanyoshe mikono juu wakati umewaangalia usoni kwa kutumia sura ya kutisha.
Kilichofanyika ni sawa na making important decisions under duress na hii katika macho ya sheria ni void.
Chama cha Demokrasia lakini hakiishi katika demokrasia ya kweli.
Wanachama wanajengewa nidhamu ya uoga na kulea matatizo.
Binafsi chadema mnanichosha kwahiyo nanyi mnawafuatisha CCM? Kwakua CCM ni wezi nanyi mtakaposhika dola mtaiba kwakua CCM waliiba?unataka tuamini kuwa ndani ya CHADEMA hakuna demokrasia, hii inawezekana ikawa ni kweli demokrasia haipo. lakini jiulize wakati wa kumchagua Magufuli kuwa mgombea urais wa tiketi ya ccm demokrasia ilifuatwa?
I can't argue with that!CDM is now a one man party serving the interests of the owner and not the interest of tanzanians.
Kwa nini CCM wanalia lia?hahahaha. ......CCM Acheni kulialia
Uko dunia gani ambayo hujapata habari kuwa CHADEMA kwa sasa ina Katibu Mkuu Mpya?Kwani nani kawa katibu
That shows how unimportant CDM functions have become.Uko dunia gani ambayo hujapata habari kuwa CHADEMA kwa sasa ina Katibu Mkuu Mpya?
Tatizo lako unajenga hoja kwa kutumia hisia.Demokrasia ipi unayozungumzia haswa , je chama chako Kinafata demokrasia . Nianze na mifano michache swala la umeya Tanga ,Dar na morogoro ni demokrasia ipi mmetumia tatizo hapo Lumumba mmezidi kukurupuka . Kwa hiyo zile kura za ndio/ hapana kule Bungeni hazifati demokrasia? Toa borit kwenye jicho lako ndo utoe kitanzi kwenye jicho la mwenzako.
MWAIPUNGUUUUUUUUU, USIWE PUNGUWANI NA HASIRA HAZIJENGI NDUGU, NIJUZE MWENZIO , HICHO CHAMA KIPOOO! MNAFANYAA MIKUTANO AU MMEZUIWAAA, ???Hujasikia mmeo anawambia Policcm wazuie mikutano
Onyesha matobo ili unisaidie kujifunza na sio kusema tu!Unaleta vitu vilivyotoboka sana