Mleta mada, usisahau, mwanasiasa husikiliza wapiga kura wake. Hapa mambo ya ufundi hakuna nafasi. Mbunge huwakilisha mawazo ya watu, yenye niaba nzuri na mbaya kulingana kalipwa na nani.
Ndani ya Bunge, Mh. Mbunge aweza ropoka chochote na akashangiliwa na mashabiki waliomtuma. Hivyo Mbunge...
Nobody has ever volunteered reply, thanks. But Massanda, I believe you're a learned person , please just do a lilltle homework. The answer is very simple.
Mimi ni mtaalam wa mitambo. Kufungua boneti kama unavyosema si ajabu hasa ukifika mwisho wa safari na pia kabla ya kuanza safari. Hiyo ni kujiridhisha kwamba yote ni salama kama ilivyoainishwa kwenye orodha ya ukaguzi (check list). Hiyo ni lazima ni lazima haswa kwenye ndege, meli na hata train...
Hakuna ktk hizo mbili wala washirika wao wanahitaji vita. Ukweli ni kwamba ikianza vita kuu, ndani ya saa moja ulaya yote inafutika kwa mashambulizi ya Mrusi. Urusi na Marekani kwa ukubwa wa eneo watasalimika kwa vile mashambulizi hulenga miji mikubwa, miundombinu na viwanda.
Life span ya nguzo zege minimum miaka 50. Sasa nitakula wapi? Acha mcheso we msee [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]
Tundu Lissu, awashukuru Shemeji zake Wakurya waliookoa maisha yake mwanzo kabisa kwa kuchangia gharama za matibabu yake huko Nairobi. Aache upuuzi wake ktk siasa na aendeshe maisha yenye tija kwa manufaa ya familia yake.
Wewe hujui kitu. Siku hizi watu huenda kwenye nyumba za Ibada ili kujitambulisha tu. Hakuna anayeamini ktk hizi dini. Ushahidi kufunga kinafiki. Kama bado unaamini kuwa kuna mbingu na Mungu ni uhuru wako binafsi.
Kila Taasisi ina udhaifu wake. Maadamu wamekiri kuwepo na tatizo Hilo, basi inatosha kurejesha hizo fedha na kujirekebisha ili lisitokee tena katika siku za mbele.
Mbona huyo Mtei, hasemi wapi walitofautiana na Mwl. Nyerere?
Alikuwa mpinzani mkuu wa sera za Ujamaa na kibaraka wa sera za IMF na WB. Alitimuliwa na Mwl. Nyerere, lakini kidiplomasia wakasema amejiuzuru.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.