Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,466
- 1,700
- Thread starter
- #101
Mmmh!Mheshimiwa Bashe anatakiwa apewe Urais wa nchi mwaka 2025

No!Hata Mhe. Chegeni naye anafaa kupewa Uwaziri.
Unajuwa kuwa akiteuliwa atakuwa haongei tena against serikali?
Ni muda mrefu nimekuwa nikimfuatilia Mh. Bashe Mbunge wa Nzega mjini akichangia hoja zake Bungeni. Ni kitu ambacho kina nishangaza Sana, kwa nini kijana mwenye maarifa na uelewa mkubwa wa maswala ambayo yana husu uchumi na biashara nchini anabakia kuwa Mbunge wa Nzega mjini badala ya mawazo yake yakatumika katika kuchangia mambo ambayo angeweza kutusaidia. Kwa mtazamo wangu angeweza kwa namna moja au nyingine kulisidia Taifa letu kusonga mbele kimkakati.
Sitaki kutoa critic kwa Rais Magufuli kwa msimamo wake au katika maswala yanayo husu uteuzi wake wa mawaziri na manaibu waziri na viongozi wengine, ila ningependa kujua sababu gani ambazo Rais anashindwa kumwona kijana mzalendo kama huyu na kumweka mahali panapo faa ili akashirikiana na vijana wenzake kama Waziri Jaffo, Waziri Kigwangala na Waziri Doto na Biteko.
Kwa uelewa wangu nilitegemea Rais Magufuli angeweza mara moja kumfikiria kijana huyu ambaye damu yake bado inachemka kwa moto mkali ambayo ingekuwa ni thawabu kubwa sana kwetu kuwa katika position ya kuchukua maamuzi badala ya kuwa mchangia mawazo tu Bungeni.
Mimi binafsi sijaona Mbuge ambaye amejitahidi sana katika kuelezea mambo mazuri yanayo husu uchimi na maendeleo ya nchi yetu kama Mh. Bashe. Najaribu kutafakari nini kimetokea kilicho mfanya Rais Magufuli ashindwe kuona michango ya Mbuge huyu katika maswala yanayo husu uchumi na maendeleo ya nchi yetu, kushindwa kumweka katika kabineti yake.
Katika nchi za wenzetu zilizo endelea, watu wenye njaa ya kuleta mafanikio ya maendeleo ya nchi kama Mh. Bashe isingekuwa shida kuwapa position ambazo wanaweza waka zishika kwa makusudio ya kufanikisha ndoto zao, kwani mwisho wake katika hizo jitihada zao ni wananchi na nchi kwa ujumla ndiyo watakao faidika.
Nakumbuka Chancelor Merkel wa Ujerumani mwaka jana ame mteua waziri kijana sana wa kutoka chama chake cha CDU Mh. Spahn ambaye alikuwa machachari sana kwake katika msimamo wake wa ku deal na wakimbizi. Mh. Spahn ametokea kuwa msaada mkubwa katika sekta ya afya ya nchi na kufanya kazi yake vizuri na kwa ufanisi mkubwa.
Rais Magufuli kama ulivyo fanya kwa Dr. Bashiru Ally, kwa kumteua kuwa katibu mkuu wa chama chako, kwa mtazamo wangu na baadhi ya watanzania wengi ambao nimeongea nao kuhusu kijana wetu huyu, kweli ingekuwa busara kuwa naye katika kabineti yako kwa mambo yanayo husu uchumi wa nchi yetu. Nafikiri ange kuwa mchango mkubwa sana kwako katika kutekeleza vision yako ya kuleta maendeleo ya nchi yetu.
Katika ulimwengu nimejifunza kuwa watu ambao wako Royal kwako sio ndiyo watu ambao watakuelewa vizuri katika malengo ya kutekeleza ambotions zako. Watu ambao wako skeptic ndiyo mara nyingi wanatokea kuwa msaada mkubwa katika kutoa mchango yao ya kuiwezesha nchi kupiga hatua ya maendeleo.
Tukizingatia kuwa Royality sio hali bora ya ushirikiano wa kuleta maendeleo ya jamii bali ni dalili za uoga wa binadam kushindwa kutoa yale ambayo anayo yawaza moyoni. Watu wenye sifa kama hizi usitegemee kuwa ni capable wa kuchukua maamuzi magumu. Hiyo ni failure ya maisha.

Mleta mada, usisahau, mwanasiasa husikiliza wapiga kura wake. Hapa mambo ya ufundi hakuna nafasi. Mbunge huwakilisha mawazo ya watu, yenye niaba nzuri na mbaya kulingana kalipwa na nani.Rais wetu hawataki watu wa kweli wenye uthubutu anawependa wabunge ndio
kumbukumbu zangu zinaonyesha Magu alishawahi kuwasema wabunge wanaojidai kujua kila kitu hawawezi kuwa na uwaziri ktk serikali yake.huyu naye atakuwemo ktk wabunge hao wanaoisema sana serikali na wanajidai wajuaji sana
Bashe yupo safi anapalilia ubunge wakeHuenda huyu kijana hii statement ndo imemfanya awe front kujifanya anamtetea mwenyekiti?