Pinda anasema watanzania watapewa taarifa sahihi kuhusu escrow muda ukifika! Anasubiri nini kutoa tarifa hiyo? bwawa limeelemewa na maji yanataka kuvunja bwawa eti anasubiri muda. Au ndo kusubiri uchakachuaji wa taarifa ya CAG?
Alichosema ni sahihi kabisa ila akumbuke alipokuwa kiongozi wa umma kama alitekereza hayo ayasemayo. Nakumbuka akiwa RC wa mbeya aliwai tembelea kijijini kwetu sijui alikuwa amekunywa ama vipi mana alipiga usingizi toka mwazo mwa mkutano mpaka mwisho. Kali zaidi ni pale lisala iliposomwa akiwa...
Ila bongo bwana kila secta ovyo si siasa si mpira! Jaja alipamba sana kurasa za mbele magazeti kwamba ni tishio. Leo tunaambiwa eti matatizo ya kifamilia halafu bado tena tunaletewa garasa lingine na huyuhuyu maximo nasi hatushtuki kwamba watu wanakuja kupiga pesa kisha wanasepa. Tuondoe mawazo...
Ujinga wa muhongo ni pale anapodhani yeye ndo genius kuliko watanzania wote about 50 milion! Yeye ni nani hadi nchi itikisike? Aende zake huko na hakitikisiki kitu hapa ila kung'olewa lazima ang'olewe tu. ***** zake!
Inauma kweli. Watu wanakufa kwa kukosa dawa, watu wanakimbia kaya kisa elfu 10 ya maabara, watoto wanakaa chini kisa madawati hakuna halafu watu wanakwapua 321.2 bilion halafu tunawatetea. jamani akina simiyu yetu, Ifweero, lizabon, litz1 na wengine wa sampuli hiyo ebu tutetee watanzania wenzetu...
Ninapingana nawe kidogo ndugu. Aichokifanya jk ni kuwapa wananchi mzigo usio wao. kuna maeneo watu huishi kwa mlo mmoja kwa siku na wanalaimishwa kuchangia 10000. Wajibu wa mwananchi ni kulipa kodi jambo ambalo wanalifanya. suala la maabara ni la serikali kwa kutumia kodi za wananchi. Tatizo la...
Bila kumung'unya maneno rais JK alitakiwa asigombee hata urais mwaka 2005 mana kama waziri wa mambo ya nje alihusika moja kwa moja na kashfa ya Rada bila kusahau ununuzi wa ndege ya rais wenye utata. Bila kuishia hapo likaja sakata la RICHMOND ambalo JK alitakiwa moja kwa moja awajibishwe tena...
CCM bila kukodi wapambe na washangiliaji hawawezi fanya mkutano. Hao boda boda wameenda kuganga njaa tu lakini moyoni sio kijani kabisaaa! Ukosefu wa elimu ya siasa ni mtaji kwa ccm ndo mana hupenda sana kuwatumia bodaboda.
Mbona ndugu unaonekana kushadidia mambo ya ujinga ujinga sana? Kuwa CCM ndo kunakufanya ushindwe kufikiria nje ya box? Kama hawatapata wapiga kura kwanini uweweseke na CDM? Hata kama wewe una maslahi na serikali hii, je vp ndugu zako? kijijini kwenu au wilaya yako? Ebu tushirikiane tuwang'oe...
Asante kwa kunikumbusha mkuu. Ni kweli tuliwafunga 1 bila pale darajani kupitia kwa Drogba na pale kwao tukatoka 2 kwa 2 kwa mabao ya Ramires na Torres. Dah bao la Torres lilizima kabisa ndoto za Barca kutinga fainali. Tulikuwa pale UDOM wakati wa mechi ile kuna cafe maarufu kule Education...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.