a.k.a_Mimi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 292
- 113
Sio sababu tuh ni shabiki wa Arsenal naona Arsenal ushindi ni 75%......kuacha Ozil, wachezaji majeruhi muhimu kurudi itaboost shambulizi Nyumbani Emirates, kama winga ya kulia Walcott, midfielder Ramsay na Striker Giroud......Man United wamekuwa mtimti miaka miwili ila nashkuru Falcao Kuwa nje licha wapo akina Di Maria, RVP, Rooney n.k.... Nadhani ni 3-1win for Arsenal