Recent content by Mwinyiheri

  1. Mwinyiheri

    Kwa Wataalam wa Sheria: Affidavit ni nini?

    Je deed poll haiwezi kuwa njia ya kuonekana vyeti vyako vyote vya academic kuwa ni batili na venyewe vinatakiwa kubadilishwa jina?
  2. Mwinyiheri

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Yani nimeshangaa sana kuona watu wa sheria nao wamekuwa qualified kuomba nafasi za financial management officer
  3. Mwinyiheri

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Hiyo ajira portal app imethibitishwa kisheria kaka?
  4. Mwinyiheri

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Hata ukizungumza na watu wa IT watakuambia upige simu katika kitengo cha malalamiko
  5. Mwinyiheri

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Pole sana ndg yangu mm mwenyewe pia imenigomea kuomba nafasi za financial management officer daraja la ii hali ya kuwa nimesoma Bcomm- Finance. Wakati huohuo tangazo linawataka watu waliosoma LLB waombe hila mm nilyesoma finance nimekataliwa nisiombe
  6. Mwinyiheri

    Historia ya kisiwa cha Mafia

    Kwanin mkuu iwe kisanga kumpata mke wa kuoa?
  7. Mwinyiheri

    Niulizeni kuhusu mkoa wa Pwani

    Kwani Washirazi kilwa hawapo?
  8. Mwinyiheri

    When Mwendo kasi meets mwendaPole

    Washirazi wa tanzania especially wa unguja, pemba na mafia wao ni machotara tu bali sio wale wenyewe kutokana na kizazi ndio kinaishia hivyo
  9. Mwinyiheri

    Historia ya kisiwa cha Mafia

    Huwenda ikawa kweli sababu watu wengi wa mafia ukiwauliza kabila lao watakuambia wao Washirazi na kuna baadhi ya watu wanapiga yakuwa ushirazi sio kabila bali ni race
  10. Mwinyiheri

    Mji gani mzuri kati ya Lindi na Singida?

    Nisaidie sasa kufahamu kuhusu ushirazi maana ss watu wa mafia huwa tunajitambulisha kama washirazi ikifika kipengele cha kabila na ndio hadi leo ukiniuliza asili yangu ntakuambia mm ni mshirazi
  11. Mwinyiheri

    Mji gani mzuri kati ya Lindi na Singida?

    Kwa hiyo washirazi ndio hawalijui kabila lao. Kwani ushirazi sio kabila?
  12. Mwinyiheri

    Mji gani mzuri kati ya Lindi na Singida?

    Ahaa sawa sasa wasiolijua kabila lao ni kina Nani hao
  13. Mwinyiheri

    Mji gani mzuri kati ya Lindi na Singida?

    Washirazi wapo kilwa ipi?
  14. Mwinyiheri

    Historia fupi ya Kilwa katika maandishi

    Na ndio dola kubwa ya kisultani kushinda hata dola ya zanzibar
  15. Mwinyiheri

    Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar asema Mafia, Lamu pia ni sehemu ya Zanzibar

    Mm ninavyofahamu mafia yote kabila lake ni moja ni hawa washirazi tu
Back
Top Bottom