Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,806
- 51,460
Vepe.... Utashika adabu ama utaendelea kujitoa ufahamu kupita tena kama ukiwekwa hadharani hiviHii adhabu hapana
Vepe.... Utashika adabu ama utaendelea kujitoa ufahamu kupita tena kama ukiwekwa hadharani hiviHii adhabu hapana
mbona inajieleza yenyewe?Unajua sheria au umeamua ku comment tu?
Kwa kukusaidia tu. Kama unaishi mikoani au gongo la mboto hutajua chochote. Mabasi haya yananjia zake maalum gari zingine haziruhusiwi. Ficha upumbavu wako.mbona inajieleza yenyewe?
wewe ndio pumbavu. tatizo una macho lakini hauoni. hujiulizi kwa nini yapo perpendicularKwa kukusaidia tu. Kama unaishi mikoani au gongo la mboto hutajua chochote. Mabasi haya yananjia zake maalum gari zingine haziruhusiwi. Ficha upumbavu wako.
Mwendokasi wanaendesha kama wako wenyewe barabarani.......kisa wana njia zao......Dar sio porini......nao hao wa mwendo kasi wafuate sheria. maana wanaendesha utadhania ni emmergcy vehicle.
na sie bado ustaarabu wa kupishana hasa Dar haupo kabisa. twagombea barabra kama kitoweo
Dah umeongea kimbinyiko umenikumbusha jkt makutupolaKimbinyiko hio Mpwa Hahahaahhaha
any way matatizo ya kukremisha.Nimesema wewe ni juha. Ndio maana kunataa barabarani. Au umezoea kuendesha punda?
Tumia hata akili ya kujisaidia japo kidogo.
Ficha upumbavu wako. Wewe ni mbumbumbu.
wee kweli ziro brain alafu unajifanya unajua kumbe umekalili tu hao wa mwendo kas na wao inatakiwa wafatishe sheria za alama barabaran sasa hapo uyo mwenye bus taa zilimruhusu kupita na uyo wa mwendo kas taa zilimzuia ila kwakua kavuta bangi ndo tatzo iloKwa kukusaidia tu. Kama unaishi mikoani au gongo la mboto hutajua chochote. Mabasi haya yananjia zake maalum gari zingine haziruhusiwi. Ficha upumbavu wako.
UNABII UMETIMIAKama kawa Kama Dawa
View attachment 352721
Washirazi wa tanzania especially wa unguja, pemba na mafia wao ni machotara tu bali sio wale wenyewe kutokana na kizazi ndio kinaishia hivyoWaafrika bhana jamaa mweusi kama ugolo lkn anajita Mshirazi, kwa wasiojua Washirazi ni watu ktk Irani kama Rostam Aziz waliohamia Zanzibar zamani sana, sasa wewe niga na Uirani wapi na wapi?? Hivi huyo jamaa akienda irani akawaambia wa Irani kwamba yeye anatoka Irani watamuonaje?? hivi ni nani alituloga jamani??!
Sisi Waafrika kweli ni ngozi ya tako yaani ili mradi aukane Uafrika wake tu atasema chochote kile ndiyo ya akina maalimu Seif mtu mweusi kama ugolo lkn kutwa kujiita Mwarabu wakati akienda Saudi watamwita (Seif) abdi maana yake mtumwa!
![]()