Recent content by Mwikizu wa nyamswa

  1. Mwikizu wa nyamswa

    JamiiForums Tanzania Mwanangu Ally K wa ilala hauoni aibu kuishi kwa wazazi wako hapo maskani

    Nasema hivi siwezi kutoka kuwaacha wazazi wangu mpaka kifo kitutenganishe
  2. Mwikizu wa nyamswa

    JamiiForums Tanzania Watu wenye kauli hizi uwaepuke, zinaambukiza

    Bado hujasema
  3. Mwikizu wa nyamswa

    JamiiForums Tanzania Kwa situation ambayo napitia, hakika uchawi upo

    Usikilizwe una kitu
  4. Mwikizu wa nyamswa

    JamiiForums Tanzania Hizi mada za mahusiano mitandaoni tuwe na Tahadhari nazo

    Kumbe ni kiarabu kile dah! Nimesumbuka sana kusoma
  5. Mwikizu wa nyamswa

    JamiiForums Tanzania Hizi mada za mahusiano mitandaoni tuwe na Tahadhari nazo

    Translation pls!!
  6. Mwikizu wa nyamswa

    JamiiForums Tanzania Kwa situation ambayo napitia, hakika uchawi upo

    Mkuu nimeona nyota yako..na Roho mtakatifu ananiambia kuwa unaweza kumiliki majumba makali na mali pindi tu utakaposahau joto la mbususu na mshahara wako wa mwezi huu utume kwangu nikutakase mkuu hakuna mchawi wala nini ila ni hao wanawake unaowatumia mara kwa mara huko ughaibuni sema ameen
  7. Mwikizu wa nyamswa

    JamiiForums Tanzania Hizi mada za mahusiano mitandaoni tuwe na Tahadhari nazo

    Ahsante kwa ushauri ila ningependa niongezee kusema Ngono ndio ilimleta hata mtoa mada bila ngono mtoa mada asingeposti huu upumbavu ila mtoa maana ameniongezea msamiati mpya "ni mwendo wa ufusika tu"
  8. Mwikizu wa nyamswa

    JamiiForums Tanzania Mapenzi au kazi kipi kitangulie?

    Nice talk!
  9. Mwikizu wa nyamswa

    JamiiForums Tanzania Narudia tena, zinaa zitawamaliza vijana

    Watu wanabuni kila siku mbinu za kuunganisha makojoleo bila athari yoyote lakini wapi! Mbususu haijawahi acha mtu salama
  10. Mwikizu wa nyamswa

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye kutaka Kwako Kura za 'Dijitali' Uchaguzi Mkuu 2025 kunaweza kukufanya Utumbuliwe muda si mrefu

    Tunachohitaji ni umeme tu hayo mambo ya kura hayanihusu
  11. Mwikizu wa nyamswa

    JamiiForums Tanzania Masharti gani ya ajabu umewahi kupewa na Mwenye Nyumba wako?

    Lakini siunajua kuroga mkuu hata kama umeacha
  12. Mwikizu wa nyamswa

    JamiiForums Tanzania Masharti gani ya ajabu umewahi kupewa na Mwenye Nyumba wako?

    Nifundishe kuroga pia.
  13. Mwikizu wa nyamswa

    JamiiForums Tanzania Masharti gani ya ajabu umewahi kupewa na Mwenye Nyumba wako?

    Nilipokuwa nimepanga Mkoani Mwanza Baba mwenye nyumba alinipa sharti la kuoa kabla kodi ya mwezi mmoja haijakamilika maana nililipia miezi sita, basi mwezi ulipokamilika nikawa bado sina mke akataka kunitimua nikamwambia anirudishie kodi nikatafute chumba sehemu nyingine pia anipe siku tatu za...
Back
Top Bottom