Recent content by Mwigigi Juani

  1. Mwigigi Juani

    Wachaga waongo

    Yuko sahihi ni kiazi hata wazungu wanaita 'air potato'. Ni sahihi vinaliwa na vina radha inakaribiana sana na viazi wa mviringo Angalia hapo utapata maana yake halisi. Muwe na siku njema .
  2. Mwigigi Juani

    Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

    MIMI NADHANI WAARABU NDIYO WABAGUZI NAMBA MOJA DUNIANI. THIS IS MY TAKE
  3. Mwigigi Juani

    Magufuli atasifiwa sana, ataandikwa vizuri sana lakini muda ndio msema mkweli

    Naomba nakubaliane na wale wanao amini muda utaamua. Kwa sasa hakuna atakaueelewa kwa sababu ya mwendokasi.
  4. Mwigigi Juani

    Kura za Dr. Magufuli dhidi ya Lowassa

    Ukiwa Na akili za kitoto ni shida kwelikweli
  5. Mwigigi Juani

    Baada ya Uchaguzi Mkuu tujiandae kushuhudia mnyukano CHADEMA

    Maramia wewe ni mchawi tena mlozi wa hali ya juu sana, upo ranking ya 33?. Unalala usiku kuota watu wavurugikiwe. Pole sana
  6. Mwigigi Juani

    Tanzia: Nasikitika kuwatangazia kifo cha Baba yangu kipenzi

    Kitoab pole sana kiongozi naomba Mungu awape faraja kstika wakati huu mgumu.
  7. Mwigigi Juani

    GEOMATICS vs CIVIL Kozi ipi inamaslahi

    Usidanganyike na majina. Nenda kasome Civil Engineering kwa sababu moja tu. Angalia mtaaani kama kuna Civil engineer yupo mtaani hana kazi. lakini ho wa Geomatics wengi tu ajira bado ni tatizo kubwa.
  8. Mwigigi Juani

    Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani Feb 09, 2014: CCM yaibuka kidedea!

    Mnaoitetea ccm hii ya mlango kwa mlango usiku ina maana gani. Kampeni za usiku mnasemaje. CDM chopa tatu walichotumia kinaeleweka je nyie mlichotumia usiku mlango kwa mlango ni kiasi gani? naomba jibu.
  9. Mwigigi Juani

    Orodha ya Majina ya Wajumbe wa Bunge la Katiba hii hapa

    sijaona jipya zaidi ya kupeana ulaji. CCM mwanzo mwisho.
  10. Mwigigi Juani

    Uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Nduli-Iringa Mjini

    Kauli hii "Mchungaji wa nguruwe" sijaipenda hata kidogo. Waliokuwepo tunaomba ushahidi
  11. Mwigigi Juani

    Jambazi Mstaarabu

    Angalia za Nigeria.
  12. Mwigigi Juani

    Unakijua Chama Cha KADIMA?

    Nina Mashaka sana NHS akili ya mtoa hoja. Nahisi akili yake haiko sawa Huyo Slaa anayemsema no huyu au mwingine. Acha mambo engine Elimu take (
  13. Mwigigi Juani

    CHADEMA; Fuatilieni Trend hii na Kuweni Makini Zaidi

    Hivi kama viongozi wa chadema no wakatoliki basi INA maana ccm no waislam, acheni unafiki nyie ndio wadini wakubwa. Unafiki ni mbaya sana hasa unapoingiza swala LA udini kwenye siasa. Pole sana.
Back
Top Bottom