​Watanzania wengi leo wanajikuta wanashangilia bila kujua msingi wa Ushindi wa uchaguzi ni upi.
LOWASA
- Lowasa anapata vikundi vya kumshangilia kwa kuwatumia wafuatao
- Mzee Chizii (Mwizi wa Kura na mjanja wa kukusanya mikutano)
- Gwajima (Kazi zake kwa sasa anafanyia Nigeria, ambapo Siku ya Jumapili hatoweza kufanya anayoyafanya sasa, kwani hata kanisani kwake hafanyi miujiza yoyote Jumapili)
- Patel (wanagawa hela za watakaoigiza kuzimia, kudeki barabara nk)
DR. JOHN POMBE MAGUFULI
- CCM ina wanachama rasmi waliojiandikisha kupiga kura 14,566,000
- MAGUFULI Anafanya mikutano mikubwa wilaya zote nchi nzima
- Mama Samia Sululu anafanya mikutano wilaya zote nchini
- Jumuiya za chama (UWT, UVCCM, JUMUIYA YA WAZAZI) zinafanya kampeni kila kata
- Magufuli club inafanya kampeni kila kata nchi nzima kila Club ina vijana wasiopungua 80 kila kata
- Kampeni ya Mama Ongea na mwanao inapita wilaya zote nchi nzima
- Kampeni ya timu Bajaji inapita mpaka majumbani kwa watu.
- Watu wengi UKAWA wanamkubali MAGUFULI kuliko Lowasa
KWA KAMPENI ZA NAMNA HII NAMUONA MAGUFULI AKISHINDA KWA ASILIMIA NYINGI.
USIPOTEZE KURA YAKO
PIGA KWA MAGUFULI