Recent content by Mwigamba Muchimati

  1. M

    JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai ashauriwe aache kuota mapembe

    Job Ndugai, spika wa bunge la JMT aliwahi kulitangazia taifa na dunia kwamba ana faili Milembe. Bila mashaka yoyote nadhani alimaanisha kwamba yeye aliwahi kuugua kichaa yaani kuwa na matatizo ya akili, na kutibiwa katika hospitali hiyo ya Milembe inayotibu watu wenye matatizo hayo. Alinukuliwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hatuhitaji kuwatangazia watu jina la mtoto

    Babati, na mimi tena? Mimi Mwigamba Muchimati najisemea mwenyewe tu. Nikiumwa nisemeni na mimi nitasema naumwa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hatuhitaji kuwatangazia watu jina la mtoto

    Mungu amewabariki mmepata mtoto. Mkamwita jina ambalo limewapendeza kama wazazi. Watu wanapokuja kuwasalimia mnawaeleza jina la mtoto wenu. Taratibu jina linakua na hatimaye mtoto mwenye jina anajitambua. Analitangaza kwa watu yeye mwenyewe. Akiulizwa jina lako nani? Anasema naitwa Mwigamba...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tumuamini Kamanda Mambosasa kifo cha Lwajabe?

    Wakati mfanyabiashara Mohammed Dewji maarufu kama Mo alipotekwa, polisi wetu walifanya kazi nzuri sana kumtafuta ikiwa ni pamoja na kuwatafuta watekaji. Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya kipolisi Dar es Salaam Lazaro Mambosasa alikuwa msitari wa mbele kutujulisha kila hatua waliyofikia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nape, wewe ni mbunge tu wa Mtama. Sio yule Nape msemaji wa CCM, wala Waziri wa habari, utamaduni na michezo

    Nakusalimu Nape, salaam. Pole kwa misukosuko ya kwenye Chama chenu. Pole kamanda maana mpaka wakati huu wewe ni mbunge tu wa Mtama. Sio yule Nape msemaji wa CCM, wala Waziri wa habari, utamaduni na michezo. Wenye kumbukumbu tunakumbuka ukiwa Waziri wa habari ulivyofungia magazeti tuliyoyapenda...
  6. M

    JamiiForums Tanzania TUNASONGA, TUNARUDI?

    Haya mambo ya kukaa na kuwaza namna ya kupambana na wapinzani tu na kuleta kauli za kejeli kejeli Mara kupata tabu sana, mara kuchakaa, ndiko kunakotufikisha hapa leo. Tunapeleka kikokotoo bungeni, baadaye tunakifuta. Tunakwenda kununua korosho baadaye tunakosa PA kuziuza. Tunaahidi kuongeza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, ndio ule mpango wakumfukuza Tundu Lissu Bungeni Unaenda Kukamilika kesho Rasmi?

    Kwa Spika wetu huyu ambaye kwa mtazamo wangu hana hata sifa ya kuongoza Kijiji, bila shaka hata nchi jirani wanatushangaa. Hivi kale ka ugonjwa kake ka kupiga watu na marungu kamepona kweli?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi walia na Magufuli kikokotoo cha kodi (PAYE), wasema kinakula mshahara wote

    Kwa PAYE mengi yanakuja. Kumbuka Ulianza utaratibu wa kuwanyamazisha wenye midomo ya kuwasemea wananchi, wenye akili zao waonao mbali wakatahadharisha tukapuuza. Walituomba tuunganishe nguvu kupaza sauti tukagoma. Wakasema "tukiisha wapinzani watageukia ndani ya nyumba yao na baadaye...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zitto atoa orodha ya wabunge wa upinzani wenye kesi mahakamani, walionusurika kuuawa na wale waliowahi kufungwa jela ktk utawala wa awamu ya 5

    Ni kufikiri kwa akili za kuazima tu ukidhani ni haki kuzushiana kesi uchwala hizi ili kunyamazisha kundi la wapinzani. Siku hawa wapinzani wakiisha atashitakiwa nani? Kama uzwazwa huu ukiendelea 2020 CCM itapora viti vyote vya ubunge (maana haiwezi kushinda kwa haki bila msaada wa polisi)...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tusipoyasema haya juu ya kifo cha Ruge Mutahaba, mawe yatasema

    Tundu Lissu: Nimekusikia brother, tena nimekuelewa. Hata Yesu aliuawa na wanafiki hao hao. Shida yangu ni moja, hivi ni wote tunaokuelewa? Maana shida kubwa ni kutokuelewa kwamba huelewi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mshituko: Ndege yetu Boeing 787-8 Dreamliner imegongwa, ipo matengenezo

    Kutangaza kila kitu napo sio hekima. Kwamba wangeitisha press kwa ajili ya matengenezo ya ndege? Tangu Nyerere sidhani kama hawa watawala walishafanya hivyo.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mshituko: Ndege yetu Boeing 787-8 Dreamliner imegongwa, ipo matengenezo

    Ndege kuharibika mbona ni Jambo la kawaida? Labda chamsingi ni kuwa na handling nzuri tu. Lakini hata kama handling ikiwa 100% bado ita depreciate. Uzembe uko everywhere duniani sema kiwango cha uzembe ndo hutofautiana. Labda tu hizi ndege zilivyonunuliwa kisiasa ndio maana watu hawana uchungu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaama ajirusha kutoka ghorofani na kufa kutokana na kukosa ajira

    Tunaweza tukawa na mitizamo tofauti kulingana na utashi wetu. Lakini taifa linapofikia kuanza kuzalisha vijana wenye mioyo ya kutoona thamani ya maisha yao ni HATARI SANA. Mungu atuvushe
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    Japo mjadala huu ni wa muda kidogo lakini nimependa uzito wa hoja. Siku tukijenga utamaduni wa kujadili hoja na kuzijibu ili kujifunza tutapiga hatua kubwa kimaisha. Mwanzisha uzi ameweka maswali ya msingi ambayo kwa bahati mbaya hayakujibiwa
Back
Top Bottom