TUNASONGA, TUNARUDI?

TUNASONGA, TUNARUDI?

Joined
Dec 4, 2018
Posts
15
Reaction score
28
Haya mambo ya kukaa na kuwaza namna ya kupambana na wapinzani tu na kuleta kauli za kejeli kejeli Mara kupata tabu sana, mara kuchakaa, ndiko kunakotufikisha hapa leo. Tunapeleka kikokotoo bungeni, baadaye tunakifuta. Tunakwenda kununua korosho baadaye tunakosa PA kuziuza. Tunaahidi kuongeza mishahara baada ya kufuta wafanyakazi hewa, mwisho hata annual increment hakuna. Tunakopa mpaka tunakaribia kutokukopesheka wakati mwanzoni tulisema hatuhitaji pesa zao. Tunakwama wapi? Hivi tatizo ni wapinzani kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom