Zitto atoa orodha ya wabunge wa upinzani wenye kesi mahakamani, walionusurika kuuawa na wale waliowahi kufungwa jela ktk utawala wa awamu ya 5

Wabunge wenye kesi za kisiasa ( uchochezi ) mahakamani mpaka sasa

Wenye Kesi kwa ujumla

1. Freeman Mbowe
2. Zitto Kabwe
3. Tundu Lissu
4. Selemani Bungara ( Bwege )
5. Esther Matiko
6. Esther Bulaya
7. John Mnyika
8. Godbless Lema
9. John Heche
10. Cecil D Mwambe
11. Halima Mdee
12. Zubeda Sakuru
13. Rev. Peter Msigwa
14. Susan Kiwanga
15. Peter Lijualikali
16. Pascal Haonga
17. Frank Mwakajoka
18.

Walio rumande
1. Freeman Mbowe
2. Esther Matiko
3. Susan Kiwanga
4. Peter Lijualikali

Waliokwisha fungwa

1. Joseph Mbilinyi
2. Peter Lijualikali

Waliopigwa risasi
1. Tundu Lissu

Aliye na idadi ya mafisadi waliofungwa aitaje then tujue anapambana na ufisadi au upinzani
Hivi ile mahakama ya mafisadi (tena jengo lake lipo) inafanyakazi? Au Magu alitafakari na kukumbuka aliyoyafanya naye kupaswa kufikishwa kwenye ule mjengo kwa makosa aliyotenda kabla ya kuwa rais
 
Nimekuuliza mara nyimngi juu ya jina lako na lile la Zitto. Nikiangalia mitambo ni wewe huyo huyo. Kwani ukitumia jina la Zitto lina mkosi? Haya! Zitto tangu lini akawa mwema wa nchi hii na kutusaidia kiuchumi? Uchumi wa internet na kuiga mijadala ya EFF?

Tatizo la upinzani ni ufahamu mdogo! Model ktk upinzani ni Slaa. Alijaa hekima, busara, reasoning, gauging man, nk. Alizungumza maendeleo na sera siyo matusi yenu. Alipiga vita ufisadi kwa vitendo, siyo ninyi munaokesha na skendo za upigaji.
Endelea kuishi kwa hisia!
 
Sio Nyerere tena manake alikuwa mpinzani wa wakoloni????!!!! Mwl. wenzio walimwita hivi hivi si unajua nyie mpo toka enzi na enzi.
Nimekuuliza mara nyimngi juu ya jina lako na lile la Zitto. Nikiangalia mitambo ni wewe huyo huyo. Kwani ukitumia jina la Zitto lina mkosi? Haya! Zitto tangu lini akawa mwema wa nchi hii na kutusaidia kiuchumi? Uchumi wa internet na kuiga mijadala ya EFF?

Tatizo la upinzani ni ufahamu mdogo! Model ktk upinzani ni Slaa. Alijaa hekima, busara, reasoning, gauging man, nk. Alizungumza maendeleo na sera siyo matusi yenu. Alipiga vita ufisadi kwa vitendo, siyo ninyi munaokesha na skendo za upigaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwakani siyo mbali. Uchaguzi ndo huo na baadhi mulioifanya siasa ni ajira, majimbo ni giza! HUko magharibi pia muitikio ktk hoja zenu ni mdogo! Kila kitu kina mwisho. Siasa za upigaji mwisho ulishafika.
 
Mzee kiona mbali Kingunge alituusia: "Msimpeleke Ikulu MNYAMPARA". Maneno yake yanasadifu hivi sasa. Bahati mbaya hatukuwana choice nyingine. Lowasa hakufaa vile vile. Natamani kuwe na mgombea binafsi.
Afazali Lowasa. Kesi hizi na mauaji pamoja na utekaji usinge fikia kiwango hiki.
 
Wewe, aliyeshea na aliyetoa huo uchafu sin hakika kama mnawaza na kuwazua vyema!!!

Hata kama hampendi Magufuli naomba muwe na hekima na busara msifanye haya mambo kisiasa tena siasa za maji taka!!

Unaona fahari sana kutajwa kisiasa hao wabunge ati walitaka kuuawa na huyo mpinzani asiyejielewa jimboni kwake wananchi wanalia yeye anajenga bifu la hovyo naww unakuja kuunga mkono upuuzi!! Pia uwe na utumizi mzuri wa maneno!!! Neno ripoti kwa muktadha huo halijatendewa haki!!! Hakuna ripoti ya namna hyo

Jaribuni kutafuta mbinu nyingine za ku win lawama za kijinga hazitawasaidia matokeo yake mtaugua presha na stress za hovyo kwani mnayoyasema hayapo na bado Rais 2020 ni Magufuli!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kiazi cha Magogoni.
 
Nimekuuliza mara nyimngi juu ya jina lako na lile la Zitto. Nikiangalia mitambo ni wewe huyo huyo. Kwani ukitumia jina la Zitto lina mkosi? Haya! Zitto tangu lini akawa mwema wa nchi hii na kutusaidia kiuchumi? Uchumi wa internet na kuiga mijadala ya EFF?

Tatizo la upinzani ni ufahamu mdogo! Model ktk upinzani ni Slaa. Alijaa hekima, busara, reasoning, gauging man, nk. Alizungumza maendeleo na sera siyo matusi yenu. Alipiga vita ufisadi kwa vitendo, siyo ninyi munaokesha na skendo za upigaji.
Yuko wapi? Ameungana nao.
Bado unasema huyu alikuwa mpinzani?
 
Ni kufikiri kwa akili za kuazima tu ukidhani ni haki kuzushiana kesi uchwala hizi ili kunyamazisha kundi la wapinzani. Siku hawa wapinzani wakiisha atashitakiwa nani?

Kama uzwazwa huu ukiendelea 2020 CCM itapora viti vyote vya ubunge (maana haiwezi kushinda kwa haki bila msaada wa polisi). Tuone Kama mchawi hatatafutwa uvunguni. Angekuwa ni mbunge wa upinzani ndo katamka kwamba mbunge mwenzake anapaswa kutangulizwa (kuuawa) hata gerezani asingetosha nadhani. Ila kwa sababu yuko CCM ni sawa tu.

Mbeleni huko kuna maiti za watu zitafufuliwa ili tu zichapwe bakora
 
Kesi haichagui chama - toa na orodha ya wabunge wa CCM
Wabunge wa ccm waliofanyaje ?, nijuavyo mimi hakuna mbunge hata mmoja wa ccm aliyewahi kushitakiwa, kama mkurugenzi wa Itigi ameua mchana kweupe mpaka leo hii bado yuko ofisini, na kesi yake inaendesha kisaniikama vile hajaua, eti ushahidi
 
68 Reactions
Reply
Back
Top Bottom