Recent content by mwibi

  1. mwibi

    JamiiForums Tanzania Nitapataje simu yangu iliyoibiwa?

    Naomba mnipe mawazo na msaada namna ya kupata simu yangu iliyopotea. Simu imeibiwa ndani ya week moja iliyopita na laini zangu hazikuwa hewan lakini toka majuzi kila nikipiga kwenye lain zangu zinapatikana lakini hazipokelewi. Je, hakuna namna yeyote ya kuweza kujua zilipo au zinapotumika?
  2. mwibi

    JamiiForums Tanzania Zijue nchi zenye waafrika wengi zaidi nje ya Afrika

    Brazil wana watu wengi sana wa asili ya africa
  3. mwibi

    JamiiForums Tanzania Military Intelligence Coup: Kisa cha rubani aliyeiba na kutoroka na Ndege ya Kijeshi ya Iraq

    Jamaa alikuwa jasiri sana sio kwa kwenda umbali huo
  4. mwibi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania British Foreign Minister may lose his Job for Congragulating Uhuru Kenyatta too early

    And Ajax @2@aAWAw€2à Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mwibi

    JamiiForums Tanzania Umewahi Kukaa sehemu ukawa Unapiga Story na Mungu? Fanya hivyo kwa njia hii.

    Mtao post atakuwa ametoroka milemba sio bure
  6. mwibi

    JamiiForums Tanzania Mambo 6 Duniani yaliyotokea kwa namna ya kuacha Mdomo wazi

    Nimeipenda sana hii
  7. mwibi

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Huyu mtoa uzi apimwe akili
  8. mwibi

    JamiiForums Tanzania Kupitia makala hii fupi mfahamu Green River Killer

    Asante kwa kuniongezea wengine
  9. mwibi

    JamiiForums Tanzania Kupitia makala hii fupi mfahamu Green River Killer

    Mimi nadhani hata watu weusi wapo Ila amna rekodi yao ndio haipo
  10. mwibi

    JamiiForums Tanzania Kupitia makala hii fupi mfahamu Green River Killer

    Ngoja nifatilie historia yake
  11. mwibi

    JamiiForums Tanzania Kupitia makala hii fupi mfahamu Green River Killer

    Sijawahi kuiona Ila ninadhani movie ipo Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  12. mwibi

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata majibu ya swali lolote kirahisi ndotoni

    Ngoja niijaribu ila Leo ni jumapili sasa masaa si yanabadilika
  13. mwibi

    JamiiForums Tanzania Kupitia makala hii fupi mfahamu Green River Killer

    Serial killer Gary Leon Ridgway alimaarufu kama Green River Killer, mtu alieua wanawake wasiopungua 49 katika mji Wa Washington kabla hajakamatwa mwaka 2001 MAISHA YAKE Gary Leon Ridgway alizaliwa 18/01//1949 katika mji Wa Salt Lake huko Utah, Marekani alikuwa anafanya kazi kwenye gari ya...
  14. mwibi

    JamiiForums Tanzania Ufahamu uchawi wa Sigil

    Haya bana ngoja nikafatilie kiundani zaidi kwenye dark web
  15. mwibi

    JamiiForums Tanzania Ufahamu uchawi wa Sigil

    Kiukweli nilipenda nilipenda kujua ila yaan silew hata
Back
Top Bottom