Military Intelligence Coup: Kisa cha rubani aliyeiba na kutoroka na Ndege ya Kijeshi ya Iraq

Umeweka mfano ambao hauna uhalisia wowote ada na viatu vya mtoto same time baba ananunua jet huo ni mfano wa kimuhemko. Bora ungesema baba ada hakuna na viatu then baba anaenda kulewa pombe na wanawake.hapo ingependeza sana.

Anyway,tunapokaa vijiweni kwetu, uwa tunapiga domo sana kuwa ndege tanzania sio muhimu,lakini je tujiulize ni kweli ndege haina umuhimu.serikali kuwa angalau na ndege japo ata tano kwa nchi kiujumla ni jambo la heri,sababu wewe na nduguzo unaona hazina umuhimu lakini ndege kwa uchumi unaokuwa ni muhimu sana. Kama wewe ni masikini hauwezi kumudu ghalama zake kuna wale walio na uchumi wa kati na wajuu watahitaji huduma hiyo wao pia ni watanzania na wanahaki hiyo.
Zisingekuwa na umuhimu basi ungeziona zimepaki hazifanyi kazi.

NB: ushawai kuona fly emirites imetua tabora?
Mbona mnataka itue chato?
 
Niliwahi kusikia hapa kwetu tulishawahi kuwa na Envineer wa ndege alieiba ndege na kuileta nchini toka Kenya baada ya kuvunjika Jumuiya ya A M kipindi kile.
Ikasemwa Mwl alkipokea ndege na haikuruka tena.
Je, wadau wa enzi hizo, hili ni kweli au ilikuwa chai tu?
 
Kuna movie ya hii kitu inaitwa " STEAL THE SKY". Ni bonge la movie!

Jinsi familia ya Rubani Munir ilivyofanikiwa kutoroshwa Iraki ili isidhuliwe ni Intelijensia ya hali ya juu
 
hiy ndege imetengenezwa wapi mpaka israel washindwe kuiunua waiibe?..story ya uongo kabisa hii.....Israel mnaikuza lakini haina lolote....bila msaada wa Marekani Israel hata Tanzania tunawadunda.....Israel ni koloni la Marekani
 
Wewe kila sehemu ni siasa tu ...Usipende kuongea sana penda kuwa msikilizaji vinginevyo unajiabisha tu
 
hiy ndege imetengenezwa wapi mpaka israel washindwe kuiunua waiibe?..story ya uongo kabisa hii.....Israel mnaikuza lakini haina lolote....bila msaada wa Marekani Israel hata Tanzania tunawadunda.....Israel ni koloni la Marekani
Urusi.wakati wa vita dunia iligawanyika pande tatu mbili zenye nguvu (Ubepali na ujamaa)na moja dhaifu(NAM).ivo silaha waliuziana kulingana na itikad
 
Wakati wengine wakiiba ndege kwa maendele ya nchi na teknolojia..
Kuna wengine wanaiba msikitini Yeboyebo na kandambili za ma-Ustadhi..
Siku nyengine ukiona unataka kuvunja watu mbavu basi waandalie kabisa ambulance na pesa ya matibabu huko mloganzila!.
 
Back
Top Bottom