Recent content by mweusitii

  1. M

    JamiiForums Tanzania Japhet Kaseba V/S Thomas Mashali

    Kwa mwenye matokeo ya pambano lao atujuze wanajamvi
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mume..

    watakuja subiri.kazi kwako kuchambua pumba na mchele
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa kuolewa anahitajika kwa wanaoishi dar tu

    Ina maana akiwa sumbawanga hana nafasi kwako
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa kuoa

    Haya kinadada kazi kwenu
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Usijali mama watakuja tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Thomas Mashari kufuta zama za utawala wa Francis Cheka leo?

    unamaanisha mashali alizimia ulingoni?
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipo serious kwa 100%(natafuta mume wa maisha)

    mbona wahaya mnawabagua hivyo,wana kasoro gani?
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simuoni nimtakae

    vuta subira na usikate tamaa mpendwa,wa kwako wa maisha yu njiani aja.cha msingi endeleza maombi utaona muujiza
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwema

    ziwa victoria? ina maana ni jini?
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanaume Mchaga aliyechelewa kuoa(40-46 years)

    hakuna dhambi mbaya kama dhambi ya ukabila,kwanini awe mchagga?
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke wakuoa

    kama unatumia hivyo vitu utakimbiza wengi,,.,dompo?
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke muislam

    [Unatafuta mke au unatafuta mchumba aje kua mke wako?] natafuta mchumba aje kuwa mke wangu
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke muislam

    (Akiwa na mimba je?) mmmmmh...itakuwa ngumu kumeza
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke muislam

    Nilizaa mtoto enzi za ujana,.shortly cjawahi kuoa kwa sababu anuai,ndo maana sasa naona ndo muda sahihi wa kutafuta.naamini jukwaa hili ndo mahala pake,inshallah
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Unafaa kuwa Mume? Ingia Hapa Kisha Jipimie

    Kama bado hujampata nipigie 0765223226
Back
Top Bottom