Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Mentor siwezi kuviposti hapa.
hilo ndilo tatizo
Mentor siwezi kuviposti hapa.
Na ukiona umempata mwanamke mkali ujue kuna mwenzako analia kwa kuachwa and virse versa.Ukiona mwanaume anahonga ujue kuna mwanamke aimshika pabaya hadi minoti ikaanza kumtoka, so kama uko na bahili get to work kumfanya afungue wallet hio.
Sio unamuacha bahili wako na kudandia wahongaji. Msione vyaelea vimeundwa ati!!!!!!!!!!!!!!
Angalia profile vizuri sipendi nikujibu vibaya. Kama uko makini utaona hii ndio post ya kwanza hapa. Sijawahi kuja nikaposti kwamba natafuta mume. Kama mume tu mbona wapo wengi ila yule wa ukweli na mwenye vigezo ndio shida kumpata. Jiheshimu mpendwa ili watu wakuheshimu. Kabla hujanena jaribu kuhakiki kama ukisemacho kina ukweli.
Ukiona mwanaume anahonga ujue kuna mwanamke aimshika pabaya hadi minoti ikaanza kumtoka, so kama uko na bahili get to work kumfanya afungue wallet hio.
Sio unamuacha bahili wako na kudandia wahongaji. Msione vyaelea vimeundwa ati!!!!!!!!!!!!!!
assume upo kitua cha basi lengo lako ni kwenda posta ,ukiwa unasubiria gari ikija ya mwenge utapanda?