Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,898
Kwani huyu hapa amekwenda wapi??
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=8612192
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=8612192
Anatafuta Mume,tafuta wimbo wa wete ulioimbwa na Msondo ngoma
Mimi binti mwenye umri wa miaka 24, elimu yangu ni ya shahada, dini muislam pia ni muajiriwa. Natafta mume mwenye vigezo vifuatavyo: awe muislam mwenye elimu ya dini na dunia, awe na shughuli ya kumuingizia uchumi inayoeleweka, umri kuanzia 28 mpaka 34, kabila lolote lile, mwenye fikra chanya, heshima, busara na maadili mazuri