Recent content by Mwera

  1. M

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    kwa mtindo huu arsenal kuchukua ubingwa ni ndoto. bado saaanaaaa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Arsene wenger ni bonge la kocha

    safi sana mzee wenger. hongera giroud. hongera arsenal. uhondo huuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Haturudii Uchaguzi

    safi sana maalim
  4. M

    JamiiForums Tanzania Samwel Sitta na Azan Zungu kuvaana uspika wa Bunge

    kwani sita ni mbunge?kuwa spika si mpk uwe mbunge?mm simwelewi hapa sit ta.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mabula wa ccm kura 81770 na wenje chadema kura 79810 ccm imechukua majimbo yote ilemela na nyamagana. Hayo ndio matokeo rasmi yakiyotangazwa.... Saa7 usiku huu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    ni kweli kaumbuka mamvi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Unazungumziaje kitendo cha Mwenyekiti wa TLP ambaye pia ni mgombea Ubunge Vunjo ndugu Augustine Mrem

    mkuu mzizimkavu. mrema amepima upepo akaona ubunge hapati vunjo. kwahiyo ameona ili asife na njaa ajipendekeze kwa magufuli ili magufuli kama atakuwa rais amchague ubunge wa kuteuliwa zile nafac kumi za rais. ameona mbali lakini. na mrema si mpinzan kwa sasa. anatafuta ubnge apate mlo wa siku.
  8. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    mwanza tokea jana saa 1 usiku mpk mda huu saa 4 usiku hamna umemezaidi ya masaa 27 hamna umeme. na haijulikani utarudi lini. hii ni balaa. hii itawakost sana ccm wanazidi kupoteza kura kwa wingi sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tafiti ya CCM imempa Dkt Shein ushindi wa 60 %

    ccm hata asilimia 20 zenj haijawahi kupata na haitatokea kupata.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ubora wa TV kati ya LG na Sumsung

    mkuu sumsung mm siijui. ila kama unakusudia samsung basi ni bora kuliko lg. ila isinunue samsung za maduka ya mitaani nyingi ni fake. nenda kwenye maduka ya samsung yenyewe utapata kitu original na waranty ya mwaka mmoja. japo kuwa bei ipo juu kidogo ila ni original mtaani nyingi sana kama si...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Over 710 people killed, 863 injured outside Mecca in Hajj crush

    innalilahi wainna ilayhi raajiuun. allah awajaalie pepo inshaalah
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtanzania ajirusha Juu ya Ghorofa 3 yeye na mwanae, Kafariki yeye mwanae mahututi Hospitali

    amejidhulumu bure nafsi yake. na kamdhulumu na mtoto asie na hatia
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtanzania ajirusha Juu ya Ghorofa 3 yeye na mwanae, Kafariki yeye mwanae mahututi Hospitali

    mkuu mzizi mkavu huyu hamad ni jamaa wa kizanzibar au sio?
  14. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    innalillahi waina ilayhi raajiuun
  15. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la Umeme (TANESCO) limetangaza Nchi kuwa gizani kwa siku 7

    sio arusha tu ni sehemu kubwa ya nchi umeme ni wa mgao
Back
Top Bottom