Samwel Sitta na Azan Zungu kuvaana uspika wa Bunge

Hafai bora ndungai au zungu ila zungu ana pa kulekebisha kidogo kupinguza mambo ya kariakoo
 
Huyu sitta aibu hana kweli pamoja na madudu aliyofanya bunge la katiba hakomi tu, tunataka damu mpya kwenye uspika
 
kwani sita ni mbunge?kuwa spika si mpk uwe mbunge?mm simwelewi hapa sit
ta.
 
aingie kijana sasa wazee wapumzike sasa khaa tena atoke upinzani utamu ndo utanoga. watu waroho wa madaraka hadi bas, ccm bana raisi tayari mmepewa na nec,hata spika atoke kwenu?
 
Alisahau nini bungeni??? Kama anaona familia ama jina lake ndo linastahili kuwa katika kiti cha u-spika, basi ampigie chapuo mke wake awe spika!!!

Mbona hawa wazee wanatamaa sana??? Unakula 80% (not that much sure) ya salary ya spika aliyeko madarakani, mafao mengine kibao!!! Unataka nini tena???

Duh!!! Aachie wengine bana. Si yeye tu mwenye standard and speed (myth) kama anavyojinasibu. Hata wengine wanaweza tena wakaifanya hiyo slogan kuwa real.

Kula mafao bana. Unabania watoto hadi wajuku sasa??? Joshua Nassari ana umri wa kuwa Mjukuu wako.
 
kwani sita ni mbunge?kuwa spika si mpk uwe mbunge?mm simwelewi hapa sit
ta.

Siyo lazima uwe mbunge ndo uchaguliwe kuwa spika. Katiba inasema kila mtu mwenye sifa za kuwa mbunge anaweza kugombea uspika ili mradi apitishwe na chama chake na aidhinishwe na tume ya taifa ya uchaguzi.
 
Tunahitaji mwanzo mpya,tuachane na makapi ya Kikwete,tuna watu wengi tu wanafaa,sitta apumzike,bado tuna majeraha ya bunge la katiba
 
Kila zama na kitabu chake. Zama za Sitta zimepita hawezi kuendesha bunge hili maana bunge la katiba ilidhihirika wazi kabisa anatumika.
 
wameshakula xn hao wawaachie na wengine, tatizo la viongoz wengi wa kibongo wanahis uongoz upo kwa ajili yao tu na wala c kwa watu wengine
 
Samwel Sitta sasa ana miaka takriban 72. Amukuwa ktk uongozi wa siasa kwa takriban miaka zaidi ya 40 (1975-2015) tangu enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa (rika lako), Kikwete na sasa Magufuli!? Enough is enough Mh. Sitta, sasa si wakati wa kukaa na vijana wako kwenye Vikao waachie upcoming young Generation, muandae mwanao Benjamin sasa. USHAURI WA BURE, WAZEE TUMSHAURI MZEE MWENZETU. AMEN.
 
Samwel Sitta sasa ana miaka takriban 72. Amukuwa ktk uongozi wa siasa kwa takriban miaka zaidi ya (1975-2015) tangu enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa (rika lake), Kikwete na sasa Magufuli. Enough is enough
 
Hii inadhihirisha ni jinsi gani viongozi wetu walivyo walafi na wasivyotosheka na madaraka, huyu angekuwa rais angebadilisha katiba ili aendelee kuwa madarakani.
 
Leten basi hata CV zao ili walau tuwe na bases za kufanya comparison. Six simkubali zungu ndo eeeeeh makinda ndo uwiiiii. Labda CV zinaweza kutushawiahi. Tafuten wengine kwan wameisha. Kumbuken hapa Kazi tu na waka undugu kwa huyu jamaa siuoni!!!
 
Nafikiri mmeshaelewa kwa nini sita alikuwa anampigia kampeni magufuli na mke wake. Ndio mama mbunge baba analazimisha uspika wakati ameshaa zeeka
 
kumpa uspika zungu ni ujinga mwingine ambao hauna tofauti na yule aliyempa mhindi uwaziri ( rostam) . Tanzania ni ya waafrika
 
Back
Top Bottom