Recent content by mwepesi

  1. mwepesi

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha nguo (Tshirt kwa hapa bongo)

    Kiwanda nnachokamini kipo morogogo njia kama unaelekea iringa..hapo utapata nguo za quarity sana
  2. mwepesi

    JamiiForums Tanzania Dream League Soccer Special Thread

    Game lipi la mpira unaeza tumia zaidi ya dakika 30 unakipiga?
  3. mwepesi

    JamiiForums Tanzania Ni mashine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara?

    Nauza mashine ya kukamua juice ya miwa..bado mpya bei chee sana nipo bagamoyo 0766127021
  4. mwepesi

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    NAUZA..SAMSUNG A21S..MALI MPYA MALI YANGU BINAFSI..NIKIKOMBOE NA MADENI..BEI TSH 350000
  5. mwepesi

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

    Mie nakushauli utafute chuna inaitwa toyota fielder..tena ile ya mwaka 2006..chuma ina roho ya nyau..
  6. mwepesi

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauli; simu bora kwa mwanachuo

    Kwa hio najaribu kutafuta simu mbadala yenye kua na sifa like note 10..with big display..storage hata 64 sio tatzo..
  7. mwepesi

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauli; simu bora kwa mwanachuo

    Mkuuu nilikua ni wazo hili la kununu note 10 Samsung..ila hera haitoshi..only nina laki tano
  8. mwepesi

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauli; simu bora kwa mwanachuo

    Nipo chuo fran hivi..nimetenga bajeti tsh laki tano badara ya kununua laptop natak ninunue simu ambayo nitweza itumia kwa matmizi mbalimbali mf kusoma pdf..naomba kufahamu simu gani naweza nunua kwa ajili yamatumizi ya mwanachuo.
  9. mwepesi

    JamiiForums Tanzania Mimi ni binti, natafuta kazi ya uhudumu wa kwenye basi

    Hahah..
  10. mwepesi

    JamiiForums Tanzania Tunachimba Visima na kufanya underground water survey kwa ghalama nafuu

    Nimechimbisha kisima kwa mkono..nipo maeneo ya pwani..lakin huu n mwezi wa pili maji yanayitoka yanatoka yakiwa na mchanga laini sana..na kufanya maji yasiwe meupe na mazuri kwa matumizi ya kunywa na kupikia..je tatzo hilo husababishwa na nini
  11. mwepesi

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu wa Vitabu vya maendeleo binafsi (Personal Development)

    Hio 20k ni kwa softcop au hardcopy..
  12. mwepesi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Bandari ya Bagamoyo: Aliyemshauri vibaya Rais Magufuli ni nani?

    Watu mchimbe mlete mkataba tuuusome
  13. mwepesi

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Kcampy sisi wenye samsung a21s vip hatuez pata GCAM
Back
Top Bottom