Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

kcamp big up brother kwa dedication yako ya kujibu maswali kwenye huu uzi hadi leo.

Nipo na Pixel 4 hapa. Camera moja matata sana
PXL_20210330_070850705.jpg
 
Mkuu Ila Kuna simu zenye default cams nzuri sana kuliko gcam
Hapana..mkuu...mpaka sasa hakuna..na ingekuepo basi ungeona developers wanaport hiyo camera ya simu kweny simu zingine...google peke yake ndio mweny camera iliyo ported kwa simu zingine zote...imagine mpka one plus kaanza kuiwekea limitation gcam kweny update mpya..na watu wakwawashia moto kweny forum yao..waache ukuda watoe limitations

Ukiona gcam haijatoa picha nzuri jua setting zako hazipo vzr...au gcam hiyo sio nzur kwa simu yako...ndiomana kuna configs files skuiz kwaajil ya setting nzur kama huwez kuiset mwenyew...

Mpaka sasa hakuna stock inafanya maajabu ya gcam

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Galaxy S10 , i phone xs, i phone 11 au hata i phone 8 plus..

Chache tu hzo zenye camera mkasi
Na hizo zenye camera kali ukiacha iphone kuna gcam zake na watu wanazililia balaa,sasa stock camera night sight ya uongo,astropgotography hakuna..hii balaa sana....hdr plus ,enhanced mpaka potrait huwez compare na gcam...shida ya gcam weng hawajui kuiset,hawajui kutafuta iliyo best kwa simu zao,hata configs files hawajui kuload..ukiyajua haya yani stock utaing'oa kweny simu yako

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom