Recent content by mwenyenguvu

  1. mwenyenguvu

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara kukumbwa na yaliyomkuta Wassira

    hivi bado kuna watu mnaamini kwa sasahivi kura ya mwananchi inaamua juu ya kiongozi anayemtaka?,
  2. mwenyenguvu

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    chama hikimfii,kitaendelea kuimalika,ishu hapa ni kuwa Mbowe hanunuliki
  3. mwenyenguvu

    JamiiForums Tanzania Muhimbili watoa Rai: Watanzania tuchangie damu

    nashindwa hata kuandika,yaan Mungu aturehemu kwakweli,yaan watu bado hata hawajasahau yaliyotokea wiki chache juu watu kukamatwa wakitoa damu!,leo hii mnajitokeza kimasomaso mnataka damu,sio bure,ile albadili imeanza kazi
  4. mwenyenguvu

    JamiiForums Tanzania Makinikia: Wanaume wameshamaliza kazi. Kinachojadiliwa sasa ni kuona wanatuachaje

    mimi nimeshaanda fire extiguisher na triangle zangu...nasubiri ka-noah kangu
  5. mwenyenguvu

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    mkuu kama sijachelewa naomba na mimi niwemo katika hao 300 pls
  6. mwenyenguvu

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    add me please 0655789010
  7. mwenyenguvu

    JamiiForums Tanzania Mbowe naomba kadi ya CHADEMA narudisha ya CCM

    namba inasomeka zaidi kwa hao hao ccm,karibu kundini ndugu
  8. mwenyenguvu

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya wanachama wa CHADEMA wampokea Dr. Magufuli na kujiunga na CCM

    mkutano wenyewe una wasikilizaji mamia,sasa hao maelfu waonatoka cdm na kujiunga na ccm wako wapi?
  9. mwenyenguvu

    JamiiForums Tanzania Tumeshamjua ni nani ana kampeni za kistaarabu! Anapata kura zetu

    lowassa
  10. mwenyenguvu

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

    inaanza kutumika usiku leo
  11. mwenyenguvu

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    wadau tayari nina tambaala kubwaaa,naomba msaada wa maneno mazuri ya kuyaandika kwenye hili bango,tayari kwaajili ya amsha amsha ya ukawa jangwani kesho
  12. mwenyenguvu

    JamiiForums Tanzania Mada moto live on Channel Ten: Yaliyojiri mwisho wa wiki kuelekea uchaguzi mkuu

    leo saa 4.00 usiku EPL ni arsenal vs liverpool,achana na polepole tukaangalie mpira
  13. mwenyenguvu

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kwenye kampeni za uchaguzi mkuu 2015

    umesema vema mkuu
Back
Top Bottom