kuelekea kwenye kampeni za uchaguzi mkuu ninashauri vyama vinavyounda ukawa. Viwe smart enough. Waajiri timu ya ushindi kwenye kila eneo. Hasa maeneo muhimu yafuatayo:
1. Uchumi- waajiri timu ya wataalamu waliobobea kwenye uchumi. Timu hii iwe na jukumu la kuchambua na kupendekza sera bora zitakazokuza uchumi kulingana na rasilimali na fursa zilizopo ndani na nje ya nchi.
2. Huduma za jamii- timu hii pia iwe competentna ije na majibu ya kero za sasa za wananchi. Hususan masuala ya elimu, huduma za afya, maji, nishati ya umeme, huduma bora za usafiri na miundo mbinu. Makundi maalum yasisahauliwe wazee, walemavu, watoto na kina mama.
3. Sera za mahusiano ya nje;
4. Mambo ya ndani- mfumo wa utawala. Kwa maoni yangu lazma tubadilishe mfumo wa utawala uliopo sasa, mkuu wa mkoa na wilaya kuwa makada wa chama huku wakilipwa mshahara kwa kodi ya kila mtanzania. I advocate utawala wa majimbo.hii ni moja tu ya mapendekezo timu hiyo inaweza kuangalia yote kwa mapana yake na kuja na sera nzuri
5. Ulinzi na usalama- hali kadhalika.
Hayo ni baadhi ya mapendekezo naamini viongozi wetu wa ukawa watakua wameshayafikiria haya. Kufanya hivyo kutasidia kuepuka kutoa ahadi zisizotekelezeka kama wanavyofanya ccm kila
uchaguzi mkuu.