Recent content by Mwendo360

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    si uende livescore
  2. M

    JamiiForums Tanzania You must read: Njia ya kujiongezea kipato. Tushirikiane kufikia malengo yetu,mradi huu unakuhusu.

    hivi mwanzishaji wa hii thread amekimbilia wapi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania NEC kuanza mchakato wa kura ya maoni kuhusu rasimu ya katiba mpya

    [emoji115] ndoto hiyo. kwa uzalendo UPI wa Magufuli? yule NI 100% CCM huku amejivika vazi la kondoo. Hadi mje mstuke NI 2025 atakapoachia kijiti.
  4. M

    JamiiForums Tanzania NEC kuanza mchakato wa kura ya maoni kuhusu rasimu ya katiba mpya

    kumbe unawaza tu[emoji121] ngoja mie nianze kuota iwe hivyo kwa #Tz hii ya Kusadikika haitokuja kutokea
  5. M

    JamiiForums Tanzania NEC kuanza mchakato wa kura ya maoni kuhusu rasimu ya katiba mpya

    POVU[emoji121]
  6. M

    JamiiForums Tanzania You must read: Njia ya kujiongezea kipato. Tushirikiane kufikia malengo yetu,mradi huu unakuhusu.

    #kaka mwisho naona kimyaaa nimekuemail cjapata majibu NA nimekuomba no ya cm pia ila kimya
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wa siku hizi ni wafupi sana?

    [emoji35] [emoji35] [emoji35] uongo mtupu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wa siku hizi ni wafupi sana?

    Turinge Sana tu aiseeh halafu hizo mbegu zetu ndo za mwisho mwisho NA sijui kwa nn zinaanza kuwa adimu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Njoo uchimbiwe kisima

    kwa nn survey nilipie 350000 NA bdo vifaa ninunue mm??
  10. M

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umetishaaaa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kila mtu anaushambulia mshahara wa mwezi

    Yaan mnalalamika tuuu kwa nn msiziache kisha mjiajiri full tym?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Ila kwa uzoefu wako katika hii shughuli je umekwishawahi kusikia kuwa kuna mtaalamu/wataalamu wanaoweza kubashiri kiusahihi?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Alichokisema Lissu ni kauli ya CHADEMA

    Anzisha chako
Back
Top Bottom