Recent content by MWENDA MATONGO

  1. MWENDA MATONGO

    JamiiForums Tanzania Magonjwa 10 yatokanayo na Pombe (hio unayokunywa wewe)

    ukinya utakufa, upokunywa pia utakufa tu
  2. MWENDA MATONGO

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka Rais wa DRC Joseph Kabila ni Mtanzania mwenzetu

    kwan mtu akiongea kiswahili kwa ufasaha ni lazima awe mtz?
  3. MWENDA MATONGO

    JamiiForums Tanzania Uwazi wa Mikataba katika Sekta ya Uziduaji (Mafuta, Gesi na Madini)

    Wabongo hawana habari na mikataba yaani wavivu kusoma saana ila kuangalia series wanakaa hata saa 5 ,, ila kusoma hata nusu ukurusa ni ishu
  4. MWENDA MATONGO

    JamiiForums Tanzania Sekretariat ya ajira mnawatia umasikini watanzania

    TATIZO HAWAPITII NYUZI KAMA HIZI.... WANGEKUWA WANAPITIA KUNA KITU WANAJIFUNZI KULIKO KUKAA TU WANAKULA UPEPO WA BAHARI INGAWA KUNA SHOMBO ZA SAMAKI
  5. MWENDA MATONGO

    JamiiForums Tanzania Elvis Peter HR Assistant wa Alistair Group (Kurasini) acha roho mbaya

    kazi gan kwanza niombe ili nikapambane naye maan mm ni njemba mwenzake
  6. MWENDA MATONGO

    JamiiForums Tanzania Elvis Peter HR Assistant wa Alistair Group (Kurasini) acha roho mbaya

    umasemaaa-------?
  7. MWENDA MATONGO

    JamiiForums Tanzania Elvis Peter HR Assistant wa Alistair Group (Kurasini) acha roho mbaya

    lete hayo maswali mkuu tuyaone
  8. MWENDA MATONGO

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kashogi hakuumia wakati anakatwa kichwa alishakufa

    niliiona hiyo video nikaifuta haraka saana maana si kwa ukatili huo
  9. MWENDA MATONGO

    JamiiForums Tanzania Makosa katika maandishi ya lugha ya Kiswahili, kwanini yanashamiri?

    hapa wao wenye majina haya ndio wamejiongezea
  10. MWENDA MATONGO

    JamiiForums Tanzania Ujue urefu wa binadamu wa zamani enzi za kina Nuhu. Walikuwa sawa na ghorofa 25

    HUYU ANA FUTI 9 TU ( KAMA MITA TANO 5 HIVI)
  11. MWENDA MATONGO

    JamiiForums Tanzania Ujue urefu wa binadamu wa zamani enzi za kina Nuhu. Walikuwa sawa na ghorofa 25

    MKUU TUONESHE NA PICHA TUONE VIZURI
  12. MWENDA MATONGO

    JamiiForums Tanzania Shule ya HOPAC jijini Dar yachunguzwa kwa madai ya kuhamasisha ushoga

    aiseee kumekucha sasa
  13. MWENDA MATONGO

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli azungumza na wachezaji wa Timu ya Taifa (Taifa Stars)

    weka link tustrimu ....wengine tuko mbali na tbc
Back
Top Bottom