Recent content by Mwembeni

  1. M

    Happy birthday Hayati Dkt. Magufuli

    Happy Birthday in Heaven Rais wa wanyonge
  2. M

    Jumapili Prof. Assad alikuwa akitafutwa anasema yupo nje ya Nchi

    Alijisahau akifikiria hiyo nafasi ni yake milele.Ndo maana waswahili wanasema cheo ni dhamana
  3. M

    Kheri ya Siku ya kuzaliwa Monsinyori Dr Deogratius Mbiku

    Heri kwake,kuifikia siku ya leo.Hakika uwa nafarijika sana na omilia zake.Happy Birthday to him.
  4. M

    Foleni Kimara-Mbezi waendao Mikoani

    Tatizo kubwa lipo kwenye daraja la Mbezi mwisho,barabara iliyotengwa haipitiki vizuri,magari yanaenda taratibu sana,tatizo jingine kwa waongoza magari wameacha watu wanatanua hovyo especially wanaotoka kibaha,matokea yake magari yanayotoka Mbezi yanakuwa hayasogei.
  5. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tangu Pasaka eneo letu lina tatizo la umeme,umeme mdogo sana,kila siku tunawapigia Tanesco kibaha emergency wanadai kurekebisha ni zaidi ya week,fridge haziwaki.Jaribuni kuwa serious na matatizo ya wateja wenu.Tunaingia hasara ya kumwaga vyakula kwa ajili ya uzembe wenu.Au Ili nalo mnasubiri...
  6. M

    Meneja Tanesco kibaha.

    Tanesco kibaha ni majanga sana,Tangu Pasaka eneo letu lina tatizo la umeme,umeme mdogo sana,kila siku tunawapigia wanadai kurekebisha ni zaidi ya week,fridge haziwaki.Mwenye namba ya Waziri wa Nishati msaada unitumie inbox
  7. M

    Jumuiya yetu ya Kanisa Katoliki imevunjika sababu ya michango kuwa mingi

    Ni kweli michango imekuwa Mingi sana,yaani kama mtu unatoa kama kanisa linavyotaka unaweza kukosa hata hela ya matumizi yako binafsi,kumbuka tunatakiwa kutoka zaka 10% ya kipato chako,hapo hapo kuna michango lukuki nje ya hiyo zaka,na bado kodi za serikali pia.Kiukweli ni mzigo mkubwa
  8. M

    Jamani bima huwa wanalipa kweli ukipata accident ya gari?

    Wanalipa,mi nilipata ajali AON walinilipa ndani ya mwezi mmoja. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Tofauti kati ya mke wa ndoa na mchepuko

    Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Nami naomba uniunge kwenye ilo group la wafuga kuku
  11. M

    Nahitaji mayai niko Mtwara

    Na bei yako Tshs ngapi per tray
  12. M

    Nahitaji mayai niko Mtwara

    Unahitaji tray ngapi kwa week
  13. M

    Mtu wa kusupply mayai anahitajika

    Mimi nauza tray 7500,kama bado unahitaji tuwasiliane
  14. M

    Mayai ya kuku wa kisasa

    Ni PM tuongee bei
Back
Top Bottom