Recent content by Mwelevu zaidi

  1. Mwelevu zaidi

    Mkapa aambulia aibu Mbeya, mkutano wadoda pamoja na kuleta watu kutoka Mbalizi

    Poteza time yakooo mkuu unafkiri kwa akili yako mkapa anashidaaa hayo yote ni kukusaidia mwenyewe tu alafu baada ya uchaguzi maisha yanaendelea tena unachofanya sasa ndicho utaendelea icho ichooo imekula kwako mkuu
  2. Mwelevu zaidi

    Kikwete, Lowassa na Magufuli kuandika historia

    We unaumwa kapimwe akili yakooo magufuli hana upinzani
  3. Mwelevu zaidi

    Magufuli aendelea kuzoa kura za Mwanza

    Magufuli ndoo kila kitu hahahhaha na muganga wake ni munguuu
  4. Mwelevu zaidi

    Kwanini watanzania hatutamchagua Lowassa?

    Hata siku moja sitopoteza kura yangu kumpa lowasa hata kwa mungu nitaulizwa hukujua na kuona yake yote yale?
  5. Mwelevu zaidi

    Taarifa kwa umma kutoka CCM : Wazungumzia Kuhusu Mdahalo na Utafiti wa Twaweza

    Afadhali haooo waliofel na wanaoongea vp wewe uliyesoma afu hunaakili?????
  6. Mwelevu zaidi

    Mtikisiko CCM: Vigogo watano kutoa msimamo hivi karibuni

    Unafiki tu magufuli ni jembe la ukweli hata mnyeshe vp ndoo rais ajaye
  7. Mwelevu zaidi

    UKAWA yavuka boda, Lowassa gumzo Kenya

    Mwehu wewew atakuwa kahonga nakooo
  8. Mwelevu zaidi

    Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    Hahaahhahahaah patakuwa pa tamu apoo ili waumini wake na jamii kwa ujumla wajue jamani kiukweli tunapotea sanaaaa yaani
  9. Mwelevu zaidi

    Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    Mi nashangaaa hatanwengine mnamuunga mkono kwa upuuzi anaofanyaaaaa kiukweli ni dhahiri shetani kawakalia kiongozi mkubwa ivooo kuuza kanisa kwa siasaaa hajui kama kunamaisha yanatusubr ya haki na amani zaid hata ya siasa anazotetea mchunguja kaaa kanisan kwakoo wasaidie waumini wako wamuishi...
  10. Mwelevu zaidi

    Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    Kwa kweli hata kanisa analoongoza sambamba na waumini wote wanaomfuata wanapotea duuu we kiongoz yakupasaaa umrudie mungu umepotea sanaaa na hunasifa ya kuitwa askofu au mchungaji kabsaaaa
  11. Mwelevu zaidi

    Mh. John Magufuli asababisha Kimbunga uwanja wa Jamhuri Morogoro Mjini

    Hata kiwe ni kimoja lakn kinawanafunzi wengi mwaka huu mtaisoma nambaaaa ccm mbele kwa mbeleeee
  12. Mwelevu zaidi

    Siku Lowassa akiamua kufungua mdomo kuhusu Ricmond nchi itatetemeka

    Kama akifunguaaaaa uongoooooo lqbdaaaa itakuwa sawaaaa
  13. Mwelevu zaidi

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Hata wasomi pia tunayakubali mawazoo ya slaa lqbda wewe tuuuuu ndoo kilazaaa hata kama umesomaaaa
Back
Top Bottom