Kwanini watanzania hatutamchagua Lowassa?

KWANINI WATAZANIA HATUTAMCHAGUA EDWARD LOWASSA:

Kwanza si mwadillifu, ana vinasaba vya wizi na ufisadi, mfano Richmond, Scotland yard, shivacom tz n.k
Pili, Lowassa ni mbaguzi, mbinafsi asiyependa umoja wa kitaifa.
Tatu, Lowassa ni mdini na mkabila ambaye anatanguliza maslahi yake na watu wanaomzunguka.
Nne, Lowasa si mzaledo ni mpenda choko choko asiye penda uwepo wa amani na usalama.
Tano, Lowassa mwongo na mwenye ndimi mbili, haaminiki.
Sita, Makundi yanayopigana kumpeleka lowassa ikulu ni genge la wezi, na watatumia ikulu kwa faida na biashara zao binafsi.
Mwisho, Lowassa ni mla rushwa na fisadi ambaye anapigania biashara zake mbalimbali kwa kukwepa kodi.

Watanzania hatutamchagua Lowassa kwa sababu amekosa sifa na haaminiki.

kajambe mbele huko umeishiwa hoja kilaza wewe, mtu mzima ovyo..kwa taarifa yako lowassa ndiye rais!!
 
Mimi sijasoma kabisa najua kilichoandikwa huko ni upuuzi na ujinga tu sina muda wa kupoteza na makala za kijinga
 
Hata siku moja sitopoteza kura yangu kumpa lowasa hata kwa mungu nitaulizwa hukujua na kuona yake yote yale?
 
KWANINI WATAZANIA HATUTAMCHAGUA EDWARD LOWASSA:

Kwanza si mwadillifu, ana vinasaba vya wizi na ufisadi, mfano Richmond, Scotland yard, shivacom tz n.k
Pili, Lowassa ni mbaguzi, mbinafsi asiyependa umoja wa kitaifa.
Tatu, Lowassa ni mdini na mkabila ambaye anatanguliza maslahi yake na watu wanaomzunguka.
Nne, Lowasa si mzaledo ni mpenda choko choko asiye penda uwepo wa amani na usalama.
Tano, Lowassa mwongo na mwenye ndimi mbili, haaminiki.
Sita, Makundi yanayopigana kumpeleka lowassa ikulu ni genge la wezi, na watatumia ikulu kwa faida na biashara zao binafsi.
Mwisho, Lowassa ni mla rushwa na fisadi ambaye anapigania biashara zake mbalimbali kwa kukwepa kodi.

Watanzania hatutamchagua Lowassa kwa sababu amekosa sifa na haaminiki.

Usiseme watanzania sema kwa nini wewe hautamchagua . Kama ni noa rushwa nenda takukuru kashtaki we gamba naona Bdo Umelala
 
KWANINI WATAZANIA HATUTAMCHAGUA EDWARD LOWASSA:

Kwanza si mwadillifu, ana vinasaba vya wizi na ufisadi, mfano Richmond, Scotland yard, shivacom tz n.k
Pili, Lowassa ni mbaguzi, mbinafsi asiyependa umoja wa kitaifa.
Tatu, Lowassa ni mdini na mkabila ambaye anatanguliza maslahi yake na watu wanaomzunguka.
Nne, Lowasa si mzaledo ni mpenda choko choko asiye penda uwepo wa amani na usalama.
Tano, Lowassa mwongo na mwenye ndimi mbili, haaminiki.
Sita, Makundi yanayopigana kumpeleka lowassa ikulu ni genge la wezi, na watatumia ikulu kwa faida na biashara zao binafsi.
Mwisho, Lowassa ni mla rushwa na fisadi ambaye anapigania biashara zake mbalimbali kwa kukwepa kodi.

Watanzania hatutamchagua Lowassa kwa sababu amekosa sifa na haaminiki.
Ni kweli mtu huyu hafai kabisa hata kuiongoza familia yake
 
Hana sifa za kuwa kiongozi mkuu wa nchi kwa kuwa si mwadilifu,mzalendo,si mchapa kazi ndio maana mwalimu nyerere alimkata na sisi 2015 oktoba hii tunamkata kwa mkasi kubwaaaaaaaaaaaaaa
 
Sijasoma bandiko lako lote coz sijaona cha kujibu .... Sema kwann ww hutamchagua lowasa sio watanzania, usitujumlishe.

Pili, lowasa ni next president whether u like it or not.
Ssshiv nawaambia ukweli, bado siku chache sn, Kuna watakaolia, Kuna watakaokata tamaa kabisa baada ya matokeo..... Stay tuned.

Kweli mkuu anapaswa aseme yeye sio watanzania wapo watakaomchagua kwa mtazamo.wao
 
Lowasa hafai hata kidogo na mbowe analijua hilo,
 
Nimesoma heading tu, ninacomment hivi:

Lowassa lazima awe Rais wa awamu ya tano. Laba afe tu. Lakini akiwa hai yeye ndio atamrithi Jakaya.
 
Mtu mmoja na mawazo yako unajiita watanzania. Haya tumekusikia mtanzania!
 
Heri mpigaji mmoja aliye kwenye mikono salama kuliko msafi ambae yupo kwenye genge la wapigaji
KURA YANGU KWA EDO LOWASSA
 
Hayati Kolimba akiwa katibu mkuu wao alisema "...ccm imepoteza dira na mwelekeo..." bado watanzania hawakumuelewa... Mzee Moyo nae akasema "hii si ccm niliyoijua..." bado hatuelewi... mzee Kingunge amerudia tena haitoshi balozi Mwapachu kauli hizohizo... bado tumejing'ang'aniza humo!!! Wanaolijua gari wameshuka wakijua halina breki na mbele kuna korongo sisi wapandia njiani na wadandiaji tunapanda tukishangilia KWA SAUTI KUBWA MBELE KWA MBELE!!!!

HIVI HUKO MBELE MMESHAJUA KUNA NINI?
 
Back
Top Bottom