Mkapa aambulia aibu Mbeya, mkutano wadoda pamoja na kuleta watu kutoka Mbalizi

Domy

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
4,700
1,086
Habari wakuu!

Rais mstaafu ndugu Benjamin Mkapa amejikuta akihutubia kikundi kidogo cha WanaCCM waliovaa sare za chama hicho huku wananchi wengine wakipita pembeni,

Hii ni katika mkutano wa kufunga kampeni na kumuombea kura ndugu Shitambala katika ubunge Mbeya mjini, Hii imedhihirisha CCM haina chake Mbeya.

Kwa mahudhurio haya Ndugu Magufuli na mbunge wake Shitambala watafute kazi nyingine kwani hapa Mbeya watu wameamua Rais ni Lowassa mbunge wao ni Joseph Mbilinyi(Sugu).
 
Poteza time yakooo mkuu unafkiri kwa akili yako mkapa anashidaaa hayo yote ni kukusaidia mwenyewe tu alafu baada ya uchaguzi maisha yanaendelea tena unachofanya sasa ndicho utaendelea icho ichooo imekula kwako mkuu
 
Back
Top Bottom